Recent content by George Joseph

  1. George Joseph

    Kigogo wa RITA aliyetoa cheti cha kuzaliwa cha Sitti Mtemvu matatani

    Kwa nchi ya mazingaombwe kila kitu kinawezekana: mgonjwa wa goti kupasuliwa kichwa:, matokeo ya mwanafunzi aleshindwa kufikia kiwango cha ufaulu kusaidiwa kwa kufikishiwa kiwango cha ufaulu: maghala ya silaha za kijeshi kulipuka yenyewe, mtu aliyefeli matokeo ya kura za ubunge wa jimbo...
  2. George Joseph

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

    Tanzania hakuna kitu kisicho na mizengwe...soka, ajira, elimu, huduma, rushwa hadi umis.....Hahahaha
  3. George Joseph

    Kukamatwa na kuuwawa mlipuaji mabomu Arusha, CHADEMA yapongeza jeshi la Polisi!

    Mtuhumiwa wa ugaidi anasafirishwaje kama mhalifu wa kawaida wakati inajulikana ni gaidi. Je, walikosa pingu? Hapo pana utata
  4. George Joseph

    Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Tanzania haina tabia ya kufanya vizuri, bora liende, bora tulishiriki.
  5. George Joseph

    Aman Karume na Mansour wamemponza AG Zanzibar

    Hayupo kulinda maslahi ya chama wala kikundi bali yupo huru kutetea msimamo wake katika anachokiamini.
  6. George Joseph

    Warioba akamatwe na kushtakiwa kwa uhaini

    Namkumbuka Dr. Sengondo Mvungi RIP
  7. George Joseph

    James Mbatia;Wasomi wengi wanapotosha ukweli awamaliza wanao taka serikali 2 kwa takwimu makini

    Mr. President mwenyewe aliikataa na kuanza kumkashifu Mzee Warioba, mwishowe Riziwani nae akafanya maraga....
  8. George Joseph

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    CCM iliikomboaje TANZANIA mikononi mwa wakoloni!? Tanzania haikuwahi kutawaliwa na mkoloni mwingine tofauti na CCM, bali Tanganyika ndo iliwahi kutawaliwa na wakoloni na haikukombolewa na CCM kwasababu CCM ilizaliwa tarehe 5/2/1977
  9. George Joseph

    Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

    Wekeni hadharani majina ya wawindaji haramu cyo machangudoa wasio na madhara makubwa kwa taifa kama walivyo wauza unga na wawindaji haramu
  10. George Joseph

    Zoezi la kubomoa nyumba za halmashauri ya jiji la Arusha linaendelea sasa

    Kama ni kweli ni hatari kwa demokrasia! Lkn cdhani kama ni kweli kwasababu utekelezaji wa shughuli za maendeleo ni serikali! Mchango wa wananchi ni kulipa kodi. Sasa kama kodi wanalipa waloko CCM peke yao nitakuelewa! Ushabiki wetu wa kisiasa unatufanya tuonekane wajinga mwishowe tunadharauliwa...
  11. George Joseph

    Majina Ya utani ya Utotoni

    Kijiko Yangaa China Totoo Babuu Spanner Kamau Tototundu
  12. George Joseph

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Ni jinsi gani tutawini maishani mpaka cku tunasema buriani....Raphael Geto langu ya Albert Mangweir, Niko mikononi mwa polisi, deiwaka....2proud aka Mr.II, Mambo ya pwani solothang na j nature, Wauguzi, trafiki, wagosi wa kaya, Starehe, bosi, jirushe ferouz mrisho
  13. George Joseph

    Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Nimejikuta nafurahi bila sababu. Hongera J K, hongera E. Mangu
  14. George Joseph

    Jairo, Nyoni wasafishwa kimyakimya

    Mkuu huwezi endesha serikali kama ibada.
Back
Top Bottom