Jairo, Nyoni wasafishwa kimyakimya

Jairo, Nyoni wasafishwa kimyakimya

Mnafurahia wenzenu wakipatwa na matatizo enhee. Kwa mijubu wa utumishi wa umma wameonekana hawana makosa. Nyie mnata kulazimisha wanamakosa. Nyie ni watu wa ajabu kweli.
 
Duu hii ndio tanzani ni zaidi ya uijuavyo
 
Majungu hayawezi kumyima mtu haki anayostahili, na hawa pia mwenyezi MUNGU atawalipiza kufuatana na kile wanachostahili; kama kweli walitenda dhambi wanazotuhumiwa nazo basi malipo yao yapo hapa hapa duniani na kama hawakutenda makosa watapata haki yao hapa hapa duniani na wapika majungu nao watapata adhabu yao!!!

Mkuu huwezi endesha serikali kama ibada.
 
Mnafurahia wenzenu wakipatwa na matatizo enhee. Kwa mijubu wa utumishi wa umma wameonekana hawana makosa. Nyie mnata kulazimisha wanamakosa. Nyie ni watu wa ajabu kweli.

unafikiri watu ni wajinga?
wenyewe wamesababishia watu matatizo kiasi gani kwa ufisadi wao?
mkuu acha tu huku kwny afya wahanga ndo wanaelewa wa nje ni ngumu.
na watu walidanganywa wamesimamishwa bila malipo Thubutu! !!
km huyo nyoni alikuwa anasema 'nashukuru Mungu mshahara wangu unaendelea kuingia km kawaida'
jambo usilolijua ni sawa na ucku wa giza.
wakae pembeni wawapishe wengine walizoiba zinatosha.

hakuna cha uchunguzi wala nn wizi mtupu
ila tunasema Mungu yupo na atawalipa tu sawasawa na matendo ht wakisafishwa vp unless watubu
 
Kama wabunge mmeweza kuwachomoa mawaziri, naamini hawa hawatawashinda, jambo la msingi hapa ni kuhakikisha kuwa hawa watu hawapati nafasi ya kusambaza na kuambukiza uovu wao kwa watendaji wengine, naamini kuwa wapo wasomi wengi nchini wenye uadilifu na uwezo wa kushika nafasi za hawa waliolifikisha taifa kwenye majanga, hakuna 7bu ya kuendelea kuwakumbati unless kuna agenda ya siri nyuma ya pazia

hope so mkuu
naomba Mungu kipindi cha bunge hili sakata lipelekwe tena hawawezi kuwafanya watz wajinga.
ooh Lord! hav mercy on us
 
Mnafurahia wenzenu wakipatwa na matatizo enhee. Kwa mijubu wa utumishi wa umma wameonekana hawana makosa. Nyie mnata kulazimisha wanamakosa. Nyie ni watu wa ajabu kweli.

wewe unajua hawana makosa eeh? how can you prove it beyond reasonable doubt? you're such a notorious twit!
 
hii serikali ya wezi, so hawawezi kuwafukuza wezi wakabaki na wasafi kwani mfumo wao wa wizi utashindwa kusimama. serikali ya wezi daima hukumbatia wezi.
 
Hii ajira ya mama Nyoni imenishangaza sana....najua serikali inamtindo wa kuazima watumishi.....ili la kusema amerudi ofisi ya zamani kuna namna tu,kwahiyo tusema amepigwa "dimosheni"!!!!!!!!!!!!!!???????
 
Ni huyu huyu Kikwete aliekuwezesha kujua Uozo uliopo kwenye System ukapata ujasiri mpaka uka Comment wakati huu na si kabla ya Utawala wake! Unadhani Mfumo wa Serikali unaoulalamikia ulianza December 2005?

kikwete is another heavy luggage!
 
Back
Top Bottom