Recent content by George Angyelile

  1. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

    Waliopona ni wengi sana, wadhungu walitia sumu ile miti ya babu mwasapile
  2. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    Mtoa post upo vzr, hii mada huwezi changia kama husomi vitabu, yote uliyoeleza yapo clear. Big-up sana. Soma kitabu pata maarifa
  3. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

    Athari za kula sana viporo. Ndoto huja kama fumbo imekuwaje ipo wazi hivyo kama za watoto wa sinza
  4. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

    IQ inapimwa kwa idadi ya mikunjo ya ubongo, na output yake inaweza pimwa kwa uwezo wa mtu binafsi kukabiliana na changamoto mbalimbali. Napata tabu sana kuona binadamu mwenye IQ kubwa kwa sasa ni mjerumani mkulima anayeishi maisha ya kimaskini kupita kiasi
  5. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

    Iran ni kama debe tupu, wanakelele tu ndani Havana kitu, kwenye hii vita wame proove Failure
  6. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Umechagua vema Big-up sana. Utulivu wa nafsi ndo maisha. Hekaheka nyingi zinatuondoa kwenye maana kuishi. Nenda kafanye yafuatayo 1. Everyday meditate (need to be isolated) 2.Occultism (super natural belief) NB unaweza ukaitwa mwanga Ukienda makete nenda sehem kunaitwa ilolo mazingira ni...
  7. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Baada ya kifo maisha huendelea tunacho badilika ni maumbile tu. Hushangai mtu akifa mwili huoza na kutoa wadudu (viumbe hai) hao wadudu ni wewe, tena ni chakula cha viumbe wengine, ni mzunguko kama mchezo wa kombolela-we are not perish
  8. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    Mh, kazungumzia umeme vjjn au wa mjini. Mbona juzi tu nimelipia service line ya nguzo sh 516000. Au TANESCO wamekaidi agizo la mh.
  9. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Wenye elimu ndogo ya mitandao nawasikitia kwa sauti, mchawi sio voda
  10. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA, BRELA, Uhamiaji na NIDA wako nchi moja?

    Wakati flani nenda Nida jiweke kwenye status, Nchi hii bila kiki haiendi. Mimi wakati nasajiri Brela niliteseka sana, kuna siku sitasahau nilienda Nida huku nimevaa tai yenye bendera ya taifa pamoja na ID ya kuzugia tu, jamaa walivyoniona kwanza wakasema karibu Mh. Ndani ya sekunde wakanitolea...
  11. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania I and I, Majesty i. One love, oneness in Christ. Napenda kuwa Rastafarian

    Kumbe mmea ndo unaleta hekima, umetisha mkuu
  12. George Angyelile

    JamiiForums Tanzania I and I, Majesty i. One love, oneness in Christ. Napenda kuwa Rastafarian

    Heshima zenu wakuu, kuna rasta mtaani kwetu hapa ananidham sana, mpole, mcha Mungu, zaidi ya yote anashiriki sana mambo ya kijamii, ila tu ikifika jion anakula sana mmea. Sasa je nawezaje kuwa rasta bila kutumia mmea?
Back
Top Bottom