Recent content by geordan

  1. geordan

    Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

    Unatakiwa kuwa makini isije ikakugeukia, Ninao mfano dhahiri wa ndugu yangu yeye alitoa taarifa Polisi ya jamaa aliyekuwa akiishi kinyumba na watoto wadogo na jamaa ni muathirika. Jamaa alikamatwa akasota ndani zaidi ya miezi mitano akaachiwa kwa dhamana kwa ufupi jamaa yupo huru. Kibao...
  2. geordan

    Series (Special thread)

    Your honor
  3. geordan

    Special thread: Picha na video kali za kuelekea uchaguzi 2020

    Korogwe mjini hiyo mkuu
  4. geordan

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Mimi sio kachero, nimegombea kuchukua kiti cha urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Mgombea wetu Bernard Membe haonekani. Ni afadhali mzee wa ubwabwa (Hashim Rungwe) anaonekana.
  5. geordan

    Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Mgombea wetu Bernard Membe haonekani. Ni afadhali mzee wa ubwabwa (Hashim Rungwe) anaonekana
  6. geordan

    Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

    Asilimia kubwa sio wakazi wa hapo,wengi wameletwa kutoka magoma,kwashemshi,mombo na vijiji vya karibu kwa ufupi mikutano ya CCM ni ya kutengeneza sio halisi hili lipo wazi na nimelishudia
  7. geordan

    Ole Sabaya amtaka OCD achunguze wanafunzi wa kiislamu waliochoma shule walitumwa na nani na kwa sababu zipi!

    Anataka awaangushie jumba bovu CHADEMA/Mbowe, Juzi aliomba askari wamshikilie na kumhoji dereva wa basi aliyegonga gari la mgombea ubunge wa CCM hai kama ni ajali ya kawaida au ya kisiasa
  8. geordan

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

    Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwalinda Viongozi wote watakaoshiriki kwenye hatua hii ya lalasalama, Ni matamanio yangu nchi yetu itapata kiongozi atakaye simama na Watanzania wote #Ni yeye Tundu Lissu 2020
  9. geordan

    Uchaguzi 2020 Tahadhari kwa mawakala kwa vyama vya upinzani nchini tarehe 27/10/2020 mkalale kwenye ofsi za vyama vyenu

    Hili la mawakala inabidi viongozi waliangalie kwa umakini maana kwahali ilivyo kwasasa lazima ccm watafanya uhuni wao kukwamisha mawakala wa CHADEMA/ACT
  10. geordan

    Kisutu: Dotto Rangimoto atuhumiwa kusambaza Maudhui ya ngono Twitter kwa kutumia jina la James Michael

    Muda wote waliomshikilia kumbe kosa lenyewe ndio hilo na hapo wamefukua mafaili wampe kesi ya utakatishaji wamekosa
  11. geordan

    Uchaguzi 2020 Naomba kujua ratiba ya kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kesho tarehe 4/10/2020

    Mikutano iendelee kama kawaida ila Lissu asipande jukwaani kama wanavyotaka tume, akisimama kwenye gari na waweke sauti yake au video ambazo ni recorded Kumuona Tundu Lissu tu ni kampeni tosha
  12. geordan

    Kwaheri Kanali Kashmir, uliyenyimwa stahiki zako na wabunge wa CCM

    CCM ni laana ndani ya hii nchi tuwakatae, hawana uchungu na watanzania bali maisha yao hapo wanatamani hata wakafunike jeneza la marehemu na shuka lao la mbogamboga
  13. geordan

    Uchaguzi 2020 Wamasai wamemuelewa Tundu Lissu

    Licha matatizo yote aliyopitia tabasamu na nuru usoni mwake imejaa, Mwenyezi Mungu wa rehema tuna deni kubwa kwako kwa uhai wa Tundu Lissu
Back
Top Bottom