Recent content by geommari

  1. G

    Rais Magufuli aamuru TRA, TFDA, TBS na TPA wawe wanafanya kazi saa 24 Bandarini kuanzia Jumatatu

    MBONA TRA WANAFANYA KAZI MASAA ISHIRINI NA NNE BANDARINI, LABDA HAO TBS,TFDA, NA WENGINEO KAMA CLEARING AGENTS AMBAZO NI BINAFSI MAANA YAKE EITHER AAJIRI WATU WENGI AMA ATOE HELA YA MUDA WA ZIADA
  2. G

    Tozo ya zuio(withholding tax) kwa wapangaji

    withhold tax hailipwi na anayepokea.... inalipwa na mtoaji wa malipo na ndo maana ya withhold tx mfano wake ni PAYE,
  3. G

    Hivi sukari ya Mtibwa inauzwa wapi?

    ILOVO NI KILOMBERO HAO JAMAA WANAHOLD KAMA 55% SHARES
  4. G

    Napendekeza Rais Magufuli ampe Makonda Uwaziri Mkuu

    ANACHOFANYA MBONA AKINA GAMBO WANAFANYA TOKA WAKIWA TANGA, KIGOMA YEYE NI HIYO AIRTIME YA BURE ANAYOPEWA NA RUGE.. ILA HAKUNA CHA BURE DUNIANI
  5. G

    Waziri Kairuki: Wapo waliokuwa wanalipwa mshahara mil 40, posho mil 30 kwa mwezi

    NA EMBU TUJIULIZE KWELI TUNAWEZA PUNGUZA MISHAHARA YA WAKURUGENZI KWA KIWANGO HICHO TUTAKACHO.... NA JE WAKURUGENZI WA TAASISI BINAFSI WANALIPWAJE? NA JE HAITALETA SHIDA KATIKA UTENDAJI?, TUANGALIE MWISHO TUSIJE TUKAFELI KUPATA WATENDAJI WAZURI WAKAKIMBILIA TAASISI BINAFSI
  6. G

    Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    KAKA NANI KAKWAMBIA AGANO LA KALE LIMEFUTWA? NA KWA NN BIBLIA INA VITABU VYOTE KAMA VIMEFUTWA
  7. G

    Waziri Mkuu: Mji Mkuu Dodoma kuthibitishwa kisheria

    NI WAZO SAHIHI KWA SABABU ISIYO SAHIHI, NAAMINI DUNIA YA LEO SIYO YA MWAKA 75 WAKATI WAZO HILO AKILITOA BABA WA TAIFA, NOW DUNIA NI KIJIJI NA NETWORK YA BARABARA IPO VIZURI, NAAMIN SERIKALI INGECHUKUWA WAZO LA BABA WA TAIFA KWA KULETA SABABU MPYA YA KUTENGENEZA MJI MZURI NA WA MFANO, DAR...
  8. G

    Tujadili kuhusu "VAT"

    HIYO SCENARIO YAKO HIJAKAA VIZURI NENDA KASOME VAT ACT NA GOOGLE HOW VAT WORKS UTAOUNA FROM POINT OF MANUFACTURE TO END SELLER NA NI ONLY VAT REGISTERED ANA ADD VAT, KWENYE MFANO WAKO HAPA KAMA BAKHRESA AKINUNUA MAEMBE KWA MKULIMA ALIYESAJILIWA NA VAT ATAMWEKEWA BAKHRESA18% (MF 500+18%(500)=...
  9. G

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Umeacha wengi tuu.. wahindi ambao ni masafirishaji wakubwa na wana viwanda vingi tu.. mfano mount meru, na simba trucking, guptas nk
  10. G

    Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania

    EMBU TULETEE UTAFITI AMA LIST INAYOTAJA NCHI ZINAZOCHIMBA TANZANITE JAMAA, EMBU INGIA GOOGLE UZILETE HAPA ACHA uongo.....
  11. G

    Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania

    KAKA ACHA KUTUDANGANYA EMBU TAFUTA NCHI ZINAZOCHIMBA DHAHABU UTAPATA NYINGI TU, ILA TANZANITE MPAKA SASA NI TANZANIA TU ACHA PROPAGANDA AMBAZO HUJAZIFANYIA UTAFITI
  12. G

    Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania

    HAPANA HIZO NI ZILE PROPAGANDA ZAO TUU.... MADINI YA TANZANITE MPAKA SASA HAKUNA MAHALI PENGINE YAMEGUNGULIWA... SOMA VITABU
  13. G

    TRA imetoa wapi mamlaka ya kugawa Sukari bure?

    """ ""' BOSS SHERIA ZA KODI ZINAWARUHUSU TRA KUFANYA MAMBO HAYA KWENYE MZIGO ULIOKWEPA KODI KUUPIGA MNADA, KUUGAWA KWA JAMII, AMA KUUTEKETEZA NA KAMA KAMISHNA ATAKAVYOONA INAFAA
  14. G

    Kuitwa kazini TRA

    Tra now hakuna kujuana ni wa kweli mm ni mmoja wa mashuhuda wao
  15. G

    Nimeitwa Songas kwa ajili ya interview

    hiyo ni kawaida ya nafasi na hapo tayari wana mtu wanampa hiyo ni kutimiza tu wajibu, mm kuna siku niliitwa na EXIM wananipigia simu saa sita na wakaniuliza niko wapi nikawaambia niko Moshi eti kesho yake wananitaka kwenye interview DSM, Ila nlikomaa asubuhi niko ofisini kwao hapo Dsm...
Back
Top Bottom