Recent content by geometry

  1. geometry

    Computer4Sale New Laptops for sale

    available
  2. geometry

    Computer4Sale New Laptops for sale

    Asus ZenBook UX431 500GB SSD Intel® Core™ i5 8th generation CPU NVIDIA GeForce MX150 8GB RAM Built-in 4-way stereo speakers(Harman/Kardon premium) 9hrs Battery life HDMI port Asking Price: 1.3 Milion Location: Dar Free Market Contacts:0628673444 Whatsapp/Call Lenovo Thinkpad T480 250GB SSD...
  3. geometry

    At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

    Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi? Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama -Latifa -Si uliniambia -Mapenzi kitu gani -Natamani -Inamaana kwa upande wa Marlaw -Rita...
  4. geometry

    Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

    Maelezo yako ya Computer engineering yana ukakasi Computer science imemezwa na computer engineering? Kitu chengine Software engineering ni tawi la Computer science sio tawi la Computer engineering
  5. geometry

    Mkopo wa elimu ya juu kwa waliopita Diploma

    Mkopo hautolewi kwa ubaguzi wa form 6 na diploma, unatolewa kwa ubaguzi wa kitu kinakwa merit system na clusters
  6. geometry

    Ushauri wa uombaji mkopo

    Naweza kufuzu kwa criteria ya business ambayo bado haioperate?ndio kwaz ipo kwenye investement phase?
  7. geometry

    Ushauri wa uombaji mkopo

    Habari wakuu, Nimepitia banks na microfinances nyingi zinazotoa mkopo kuangalia criteria zao na naona criteria nyingi nafudhu ikiwemo ya Asset au Collaretal. Criteria moja ambayo bado nahitaji ufafanuzi wa wazoefu ni kwenye kigezo cha biashara. Kampuni yangu ni changa kabisa nahitaji mkopo as...
  8. geometry

    Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    kwenye xray kuna vipimo vya kawaid huwa vinaitwa conventional procedures lakini kuna wakati ili mgonjwa afaidike na kipimo inabidi ifanyike advanced manipulation ya procedure,procedure za aina hii zinaitwa special procedures ikitokea special procedure hiyo imekuwa global sana huwa inatengenezew...
  9. geometry

    Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    yawezekana kosa alifanya radiographer kwenye kumark upande upi ni left side,kama ukiangalia vizuri kwenye ile picha ya xray huwa kunakuwa na alama ya L,hiyo alama ni muhimu sana kwenye kutafsiri xray image
  10. geometry

    Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    madhara yapo lakini faida ni kubwa zaidi ya madhara
  11. geometry

    Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    ultrasound kama kipimo hakina madhara ya direct yaliyowahi kuthibitishwa lakini ukweli ni lazima kuna bio effects zinazotokea kwenye tissue japo bado hazijawa clear au tuseme ''Benefits overweight effects''
  12. geometry

    Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    kwa waliomaliza form four pitia hii
  13. geometry

    Niulize Chochote kuhusu Goba

    Updated Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom