Niulize Chochote kuhusu Goba

bei ya chumba cha kupanga sh ngapi kwa kimoja na chumba na sebule sh ngap?
 
Figure na miguu ya wanawake wa Goba ikoje?

Hawana vigingi na gaga?
 
Hili jina la Goba Kunguru kwani jina lisibadilishwe watafute jina jingine ,nimepata chumba cha kupanga hapa karibu na Dangote ,karibuni goba
 
Mie Goba napapenda sana, nita kuja kununua makazi huko Mungu akipenda na uchumi ukikaa sawa.
 
mkuu wew ni mkongwe wa Goba?
unakumbuka gari la Mangi miaka ya 2000 land rover bovu bovu hivi
Ahaaa palikuwa na gari tatu goba miaka ya 2000, zikikupita hizo mjini huendi labda utembee...palikuwa na Landlover 110 ya Tesha, bongo man na mbava zilikuwa zinapaki bwaloni....zikiondoka watu walitoa msaada wa usafr marehemu Major Nyange Mungu amrehemu alikuw na Mitsubishi pick up ya jeshi nyeupe na Major Mavika alikuw na KIA hao walikuwa Wana saidia usafir way back goba enz umeme hakun enz za mzee juu juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom