Kuna movie inaitwa LOCKED ya mwaka huu. Mule ndani kuna SUV smart balaa. Asee mtu ukiwa na pesa una-order utengenezewe ndinga kama ile.
All in all, huu uzi bila picha ni nonsense.
Sio kweli, kenya kodi ni kubwa kwa matoleo ya zamani ila matoleo mapya ya magari kodi sio kubwa. Ndo mana kenya latest car zipo nyingi sana kuliko bongo. Kule hawatak uchafu huo wa matoleo ya zamani. Sio bongo mtu huna hela unaona uagize gari toleo la 2010, angalau upunguze gharama za kodi.
Mwamba wife wangu ana pigo kama hizo. Hapa nipo najipanga nimfungulie saloon ya kike maana anajua kusuka. Yani mke wa namna iyo mtafutie cha kufanya, asikae anawaza pesa yako tu, lazma ataitumia bila mpangilio maana hajui inavyotafutwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.