Recent content by geography

  1. G

    TANESCO mnatuunguzia vitu muda huu maeneo ya Pugu selemala umeme unafika 370 Voltage

    Toka saa nane za usiku vitu,vimeanza kuungua taa zinalipuka hovyo,hadi saa tatu hii,bado hakuna solution. Tunaomba umeme uzimwe haraka vitu vinaungua huku,mkipigiwa simu mnasema mnakuja hadi sasa kimya. Umeme toka jana saa mbili ulionyesha kuna tatizo lakini mmeacha hadi limekua kubwa. Naweka...
  2. G

    Kifaa cha kuondoa tatizo la umeme mdogo hiki hapa

    Nyumba yangu ina tatizo la umeme mdogo nitakupataje?
  3. G

    Nyimbo mpya ya Diamond

    Jaman mwenye nyimbo mpya ya huyu jamaa ndani take anaimba ukiniacha nitadanja aiweke hapa nimeisikia sehemu moja hv yaan n bonge la cndano
  4. G

    Nahitaji vifaa gani ili kufunga wirless internet kwenye kampuni yangu ?

    Naomba kujua gharama za ufungaji wa WiFi na vifaa navyo hitaji kununua,pamoja na internet service provider yupi yoko poa katika hili.
  5. G

    Natafuta mtu/kampuni ya kufanya nayo kazi

    Nina elimu ya electrical na electronics ngazi ya chuo,nimejikita katika kubuni na kuunda vitu mbali mbali vya umeme na electronics,Nina expereience ya zaidi ya miaka 10 katika industry ya umeme na electronics,nina projects nyingi ambazo nimedesign na kuziunda na nyingine ambazo bado sijaziunda...
  6. G

    Vyeti vya degree kwa kazi ya form 6 na uwezekano wa kuitwa kwenye usaili

    Swali la kwanza:- Ningependa kujua kama kazi imetangazwa inahitaji watu wa level ya form 6 then mimi nikatuma na vyeti vya degree Mfano nina degree ya Geography Je nitakuwa naongeza possibility ya kuitwa kwenye usaili au la? Na mfano kazi imeandikwa hivi-; Qualification * Advanced...
  7. G

    hii ni kwa wanao soma Geography kwa vidato vyote Dar!

    Talented brothers Academy ni center inayotoa mafunzo kwa QT,Re-sitters,Pre-form five,paoja na form 6.Tunatangazakutakuwa na Solving,exams,na mafunzo kwa vidato vyote kwa somo la geography chini ya mwalimu mwenye Degree ya somo hilo aliyebobea katika somo la geography!WHEN YOU'RE WITH US...
  8. G

    hii ni kwa wanao soma Geography kwa vidato vyote Dar!

    Talented brothers Academy ni center inayotoa mafunzo kwa QT,Re-sitters,Pre-form five,paoja na form 6.Tunatangazakutakuwa na Solving,exams,na mafunzo kwa vidato vyote kwa somo la geography chini ya mwalimu mwenye Degree ya somo hilo aliyebobea katika somo la geography!WHEN YOU'RE WITH US COUNT...
  9. G

    Form three and four

    Sold iut
Back
Top Bottom