Recent content by Geofrey Maseta

  1. Geofrey Maseta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    Ha ha ha ha ha ha.. Hapana chezea mnyama weye..
  2. Geofrey Maseta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkude ndiye kiungo bora wa chini kuwahi kutokea nchini?

    Daaah mtoa mada kuna viungo bora kbsaa hujawatendea haki Mf : Issa Athuman.. Ramadhan Lenny.. Athuman Abdalah china.. Hussen Marsha.. Salvatory Edward... Niko Bambaga... Michael Paul... Hamis Gaga.. Wazir Mahadhi.. Godfrey Bonny Mwandanje...kiukweli Mkude ni mzr sio kwa ulivyompamba mkuu...
  3. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Nani anakudanganya kuwa waraka iringa haukusomwa?? Acha upimbi ww
  4. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

    Naungana na ww mkuu.. Nimewahi kukisoma kitabu cha siri cha vita ya Uganda... Kilikuwa kimeandikwa kwa lugha ya tarakimu... Mfano Neno kama basi liliandikwa 52III2 ...aisee kile kitabu hakijaficha kitu chochote, wameelezea jinsi tulivyopigwa pale mpkani.. Tulipoteza mgambo na waalimu wa shule...
  5. Geofrey Maseta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

    Ni mchezaji bora asiye na mafanikio kwenye kikosi cha Team ya Taifa lake kama akina okocha tu kwangu Gaucho ndo bora
  6. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA kata ya Sinza ni mzigo

    Hapo jamaa anajaribu karata ya udc na uded... Haya bhana mhe chikandamwali atazipata salamu zako.... Lkn mkimnunua mtamsimamisha huyo huyo tena
  7. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Ha ha ha ha.. Albadiri si kitu cha mchezo mchezo
  8. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Manyara: Diwani wa Kata ya Masakta Wilayani Hanang', Marco Martini Kia (CHADEMA) amejiuzulu na kuhamia CCM

    Aende salama tu.. Hii biashara haizuiliki kwa namna yyte ile
  9. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Viongozi na wafuasi 20 CHADEMA waliokuwa msibani washikiliwa na Polisi

    Polisi wetu wana mambo ya ajabu sana.. Kumbe ni msiba??? Kwnn wasitumie busara tu??? Khaaa, pole pole anafanya na hatusikii polisi kufanya chochote
  10. Geofrey Maseta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu mahiri kuwahi kucheza Simba SC

    Mohammed mwameja Hussen Masha George Masatu Nteze John Ramadhan Lenny
  11. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Wanachama 3,500 wa CHADEMA wahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na RC Mnyeti

    ccm kwa maigizo ni balaa.. Kutoka watu 35 hadi 3500? duuuh... Endeleeni kujitekenya na kuteka hvyo hvyo
  12. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    Tatizo hatuna bunge huru... Tuna mfano wa bunge tu
  13. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawa wanakuwa hivi........?

    Ha ha ha ha ha ha ha ha.. Hatari sana huu utafiti
  14. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Kama kuna mtu anamatumaini na serikali ya ccm kuwa inadhamila ya kufuta umaskini kwa raia wake bc huyo mtu ufikiri wake una mapungufu makubwa mnoo.. ccm furaha yao kubwa ni kuona wananchi wanaendelea kuwa maskini ili iwe rahisi kuwatawala... Hakuna mwana ccm yyte kwa ngazi yyte ana hiyo dhamira...
  15. Geofrey Maseta

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, wamefanikiwa kutoa kipande cha chuma kilichokuwa ndani mwili wa Lissu

    Hz habar za mhe Lissu anaendelea vzr huwa zinawaumiza mioyo BASHITE na Makomeo... Maana hawakutarajia kuwa angekuwa hai hadi Leo... Hakika mungu wa lissu ni mungu asiye sinzia hata kidogo
Back
Top Bottom