Recent content by genuine1

  1. G

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s2 on sale

    Imeshachukuliwa:flypig:
  2. G

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s2 on sale urgently

    Wakuu nauza simu yangu yangu Samsung galaxy s2 used in good condition.Nina shida ya haraka sana Nipo DSM Contact 0752992254 Price 250000
  3. G

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s2 on sale

    Wakuu nauza simu yangu Samsung galaxy s2 used in condition. Being no 250,000 Nipo dsm
  4. G

    JamiiForums Tanzania Black berry curv 1(8520) inahitajika haraka

    Nashukuru wakuu nimepata
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji moja ya simu hizi

    Kuna s2 hapa iko fresh kabisa kwa 300000 unaweza ni PM tutafutane uione.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Black berry curv 1(8520) inahitajika haraka

    Wakuu wenye simu tajwa hapo juu inaitajika haraka,iwe katika hari nzuri.Kama unayo PM tufanye business
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mabati ya kisasa na mbao kwa ujenzi wa nyumba bora.

    Elimu ya utoaji matangazo inaitajika sana hapa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania 5M nahitaji gari poa

    Nunua ndinga mkuu coz unaweza kulala hata kwenye gari bt nyumba huwezi kutembelea. "Think wise"
  9. G

    JamiiForums Tanzania JF top gear

    Yap! Good idea
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Qatar

    Jamani wala msilumbane kuhusu kazi zinazoitaji watu wa dini furani tu kwani huwa wana maana tena ya msingi sana.kwa mfano tuangalie kazi ambayo wanataka muslim tu,ikiwa ww ni mkristo unataka kazi ambayo umeshaambiwa anatakiwa muslim itakupa shida sana coz kuna wakati wenzio wa swala tano...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua hili

    Wakuu hope wazima wote,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kutumia program yoyote ya kutambua location ya namba ya simu ya mkononi endapo mtu hatumii smartphone.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wenye matatizo ya nguvu za kiume dawa ipo.

    Pesa ndo kila kitu,unadhani huyo babu atakupa bure. 'Think wise'
  13. G

    JamiiForums Tanzania Procurement au Information technology

    kabla hujaamua usome course gani angalia kwanza ww mwenyewe unapendelea nini? Then ndo ufanye maamuzi kulingana na ushauri.Naomba nianze na Procurement a.k.a wizi wa kisomi.Hii course ni nzuri hasa pale ambapo utapata ajira serikalini au ktk mashirika ya umma kwani mishahara yake si mibaya sana...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili nikimaliza masomo nipate ajira?

    Ni kweli suala la ajira limekuwa tatizo kubwa sana juzi nimekutana na rafiki yangu alimaliza mwaka 2010 mpaka leo yupo nyumbani na umri unazidi kwenda.Mpaka roho ikaniuma na kujiuli kila mwaka kuna graduate wapya na kila chuo kinatoa watu si chini ya 50 kwa kila course sasa sijui inakuwaje hapo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anatafuta kazi

    Mkuu umetisha sana,nimejifunza kitu thanks a lot
Back
Top Bottom