Nani kakwambia hana nyumba...???? Acha kukariri maisha...Nunua ndinga mkuu coz unaweza kulala hata kwenye gari bt nyumba huwezi kutembelea.
"Think wise"
mkuu ninayo Toyota Vitz ninauzwa 4.5mil .rangi ya blue
nitashukuru sanawadau kama nitapata chuma cha 5m chenye sifa zifuatazo;liwe toyota, liwe linanusa mafuta, lisiwe chini sana na bodi iwe poa na ngumu, liwe la mwaka 99 kuja mpaka 2011, pia liweze safari ndefu...binafsi napenda premio au carina. Asanteni
Starlet ipo 5.3m namba BTC Ni nzuri, ya mwaka 1998, cc1330
Bei yake mkuu?Ni pm, ninayo premio plate namba BZS..
Mbona kama Sprinter za kwanza kabisa..ipo corala E100 imesimama 4m
Labda umvue mtu, si unajua kimfaacho mtu chake bhana. Mimi niliwahi kuuziwa Rav4 kwa milioni tano miaka miwili iliyopita na jamaa alikuwa na shida ya ghafla na mpaka leo chuma kipo barabarani hakijawahi sumbua...asanteni nimepata carina leo kwa 8m...nimeamini 5m huwez pata gari zurihapa tz
Pengine ameshajenga tayari, usihukumu kabla ya kumfahamu mtu. Hata mimi nilianza na gari na baada ya mwaka mmoja nikahamia kwangu, inategemea na uchumi wa mtu pamoja na malengo ya mnunuaji.Nunua ndinga mkuu coz unaweza kulala hata kwenye gari bt nyumba huwezi kutembelea.
"Think wise"
nashukuru nimepata chuma cha ukweli aina ya corolla sprinter
Umechukua ipi hapo?asanteni nimepata carina leo kwa 8m...nimeamini 5m huwez pata gari zurihapa tz