Recent content by GENTLEMAN S

  1. G

    JamiiForums Tanzania Natamani maprofesa wetu wawe kama Prof. Lumumba

    Anajitahidi kwa kweli,
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    bad nampenda nitamsamehe,
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    sina namna ya kuonyesha moyo wangu pekee ndo unaotambua userious wangu,
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    nimehangaika sana na najitahidi na vibarua vya hapa na pale mke wngu ale mwanangu avae na nauli za kila siku,ila mambo yanazidi kubadilika,maisha yamebadilika jamani..
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    kiukweli sikua serious nilifanya tu kupoteza mawazo,maisha yananichanganya sana,
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    asante sana,
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    ni kweli nimelia ila machozi yamekauka,MUNGU pekee tu ndo anaejua
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    hata chips ningeuza tatizo ni pesa ya kuanzia,
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

    siamini bado,maumivu niliyonayo ni mazito, mke wangu umeniacha,kukosa kazi limekua tatizo; nimetoka mihangaikoni narudi nakuta haupo nyumbani umeondoka na mwanangu,bado nampenda sana huyu mwanamke ameondoka na kuniacha kwenye kipindi kigumu sana, mwezi ujao napaswa kulipa kodi najua umekimbia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Shukrani sana kwa wanajamvi kwa msaada wenu hatimaye nimepata kazi

    Malila nifungulie njia na mimi naangamia,
  11. G

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu, Asanteni Jf, Utumishi wqmeniita kazini!

    Unamaanisha?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu, Asanteni Jf, Utumishi wqmeniita kazini!

    Daah nimebaki mimi tu,
  13. G

    JamiiForums Tanzania Usaili TBS: Nafasi 47 kwa watahiniwa zaidi ya 7,450

    Mkuu nisaidie na mimi hata kulea wazee nipo tayari,
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mboga za Kichina ni Hatari

    Unatushauri tule dona nguru?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Una gari au biashara msaada wako ni muhimu tafadhali,

    Habari za muda huu ndugu wanajf, mimi ni kijana mwenye familia tayari, nimefanya kazi na kampuni moja ila ikapunguza wafanyakazi, nina ujuzi wa kuendesha magari aina zote nina leseni daraja la 2(class C ),pia ni fundi magari, ninahitaji msaada wenu uwe wa mawazo wa kazi au wa mkopo niweze...
Back
Top Bottom