Kwa aina hii ya wachezaji tulio nao hatuwezi kufika popote, hawa wachezaji uwezo wao umefika mwisho hawana jipya, tujipe tu likizo ya muda ili tujenge timu imara ya taifa kuliko kutegemea miujiza kutoka kwa Samatta au Msuva.
Na ajali hiyo ilitokea Mkoa wa Mtwara, Ndanda wilaya ya Masasi, siku hiyo Mwinyi alienda kutembelea daraja lililokuwa limesombwa na maji kutokana na mafuriko ya mvua za ya miaka ya 90 katika barabara kuu ya Mtwara-Masasi-Songea.
Ila hii ishu ya wahudumu kupenda kuagiza vinywaji vya bei ghali nimeanza kuielewa kupitia uzi huu, siku hizi imekuwa tabia bar zote za mijini ukimpa ofa ya kinywaji binti usitemee aagize serengeti lite au castle lite!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.