Recent content by GeniusOzil

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wagigisi wa Mauaji

    Sawa kutoielewa ccm inahitaji uprof.wa uelewa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wagigisi wa Mauaji

    Hivi nawe unaamini kulingana na hizo screenshots kuna mpango wowote,HV mpango wa mauaji unaweza kuudiscuss kwenye group la WhatsApp?,
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wagigisi wa Mauaji

    Sasa hivyo ndio vitisho?,afu unajidai huogopi?,yani udaku wa chatting za washikaji kwenye magroup dio unakuhangaisha mpaka unatafuta public sympathy kwenye mtandao?, maneno mengi unajitapa huogopi kumbe walewale tu mwanaume wa kibongo wanaoshinda Jim afu wanaogopa mbwa mwitu!.polisi ya wapi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awasili jijini Arusha kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki

    Dah!,hyo ndio Uhuru wa habari mliokua mnaulilia?,jiangalie
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vitabu vya kijasusi

    Yani.........eti na yericko,kweli siri ya maisha ni ujasiri.......
  6. G

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Tutaaminije kama anayoyaandika chahali ndio ukweli mwenyewe?, sidhani kama tiss wenyewe watakuja kudhibitisha!,halafu chahali mbona amekuwa kimya hatoi tena mambo?,au kama kuna wadau mnapata series ya hizo story mtuwekee au washampiga stop jamani.kama kweli ashawahi kuwa tiss inamaana unajua...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Mi nilidhani utauliza alipataje B ya kiswahili na sio ya kiingereza,kwasabab hata kiingereza sio lugha yake!.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kibonde wa Clouds acha kubeza kasi ya Mh. Rais na Serikali yake

    Kibonde nae anakuchanganya kichwa ana una utofuti gani na jamaa wa hapa na pale!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wadi mpya Muhimbili 'hazina vyoo'!

    Watanzania hamna shukrani.ushasema mafundi ndio wanajenga sasa unataka nini?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atinga bandarini, ampa saa 4 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo kujieleza

    Kizuri kwako ni kipi?,au mpaka chadema waingie madarakani?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

    Kwahyo alichokiangalia YouTube ndio kimemleta mbio kuwashauri tiss waige!!,kwahyo marekani haina matatzo ya kiintelligencia pamoja na kwamba amejiuzulu huyo au pamoja na kwamba wanahojiwa seneti?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

    Kwahyo unayoyaangalia YouTube ndio yanakuleta mbio kuja kuwambia nahuku waige,unadhani tiss wanaendelea kwa kufata movie,marekani yenyewe unayotolea mfano nao wanamatatzo ya kiintelligencia pamoja na kwamba wanahojiwa kwenye baraza la senet kama ulivyodai!.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

    Nyie si mlisema mh.habani matumizi toka zamani,sasa mnashangaa nini?,hata mnachokitaka hamkijui!!!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

    Hahaaa eti lema Waziri,aaah kumbe Waziri kivuri sorry!!!!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

    Atupe Mfano wa nchi ambako secret service huitwa bungeni na kuhojiwa!,unaweza kuhoji kuhusu secret service wakati si moja wao??
Back
Top Bottom