ni kweli yericko hicho ulichokisema sio tetesi. stakabadhi za benki ya stanbic na akaunti moja ya mkombozi, vimebanwa.lakini cag alivielezea wazi kwa PAC na wakakubaliana raisi asiwajibishwe sasa kwani ni balaa na mkasi kwa nchi yeyote anaefanya hivyo.sasa kinachoendelea bungeni ni nani atolewe...
wewe hizo pesa za kwenye escrow account prof.benno ndulu ambaye ni gavana alishashtukia mchezo na alitaka executive order kutoka ofisi kuu ikulu na raisi ndiye aliyetoa executive order.jamani hamsikii hata nyaraka zinazosomwa kuna zingine zimezuiwa ili kumlinda raisi alie juu ambae ndie mwizi...
Kwa kikao cha leo bungeni na ukipima kwa weledi kabisa,prof. Sospeter Muhongo haponi.
Facts & figures=hasara aliyoisababisha tangu amechukua wizara.
2. Majibu yake ya upotoshaji na uongo wa hali ya juu akionyesha kufurukuta. Prof. Muhongo ni lazima afilisiwe,ni mtu muongo sijapata kuona tangu...
mshenzi wewe.umetumwa kutakatisha wezi kama wenzako wengine wanavyofanya bungeni. akaunti moja ya mkombozi waliogawania kwa ujumla majina yake hayajaletwa ila bank statement imeonesha uwepo wa akaunti hiyo na transactions. pia miamala na majina iliyofanyika stanbic haijawasilishwa.hakiyamungu...
balaa. TAKUKURI,TRA ,CAG wamefanya kazi yao kitaaluma na sio siasa.PAC ni kamati iliyoundwa na wabunge wa vyama mbalimbali ikiwamo ccm. na PAC sio upinzani.ni kamati ya kudumu ya bunge. Raisi,waziri mkuu,mawaziri na ripoti hizo zote pamoja ni ukweli mtupu lakini picha hili zima ni raisi,waziri...
balaa. ni kweli lowasa,mengi na wengineo wanaweza kupika njama dhidi ya prof.muhongo na wengineo kutokana na chuki binafsi za kimaslai. lakini,ripoti ya PAC ni ripoti iliyotokana na TAKUKURU,CAG na TRA. na PAC haijaundwa na chadema bali ni mkusanyiko wawabunge ikiwamo ccm na wengineo...
hali ni tete. ee mungu washa taa yako tuwaone wadudu wakali nyoka,simba n.k tuwauwe mara moja mauti kama yale ya mwanao yesu kristo yaliyoyupatanisha na nafsi yako mungu.AMEN
kazi kwenu watanzania. mimi ninanguvu za kiuchumi na ninanguvu zakielimu lakini hiyo ni ndogo,ninanguvu kubwa ya ushawishi na kutekenya pale pasipotekenyeka. japo mambo yangu yote ni halali na jasho halisi. hii ndo dawa ya tanzania na dawa ya dunia ya sasa. kazi kwenu wakereketwa na walala...
tanzania ni nchi yenye uvumilivu na sio amani wala upendo,hii inachangiwa na asilimia kubwa ya watanzania wasio na elimu na kukosa taarifa/kutokuwa na taarifa hasa kutokana na mipangilio,njama za chama tawala. mpaka sasa ni kweli ccm kimechokwa na hata mimi ninaunga mkono kiachie ngazi lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.