Ni lini rais Kikwete alizindua na kumeza Vidonge vya Mabusha?

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,167
402
Wanajamvi,

Mimi Leo Nimemeza Vidonge Wanavyosema Vya Kuzuia Matende Na Busha.Nilienda Zahanati Kwa Shida Tofauti Nikakuta Nesi Amekaa Na Makopo Mengi Ya Dawa,kama Ilivyo Kawaida Yangu Huwa Sipitwi Na Jambo,nikamtupia Swali Kwanini Amezungukwa Na Makopo Ya Dawa.

Akanijibu Ni Dawa Za Chanjo Ya Matende Na Mabusha,nikauliza Bei Nikaambiwa Ni Bure,na Kwakuwa Nilikuwa Na Maji Mkononi Nikamwambia Anipe Na Mimi,nesi Akanipima Urefu,akanipa Vidonge Vidogo Vidogo Vitatu Na Kingine Cha Pinki Akaniambia Kuzuia Minyoo.

Nikaondoka, Sasa Nimerudi Mtaani Nimewaambia Nipata Kinga Ya Matende Na Mabusha Nikawataka Na Wao Waende,wamenicheka Wamesema Nimejipunguza Nguvu Za Kiume, Sasa Amani Imetoweka Moyoni,na Nimejiuliza Kuhusu Ukweli Huo,nimeingiwa Na Mashaka Maana Rais Kikwete Na Viongozi Wa Serikali Sijawaona Kuzindua Kampeni Hii Kwa Kumeza hivyo Vidonge,mbona Wakizindua Gari Au Barabara uzijaribu?Mbona Kampeni Hii Sijamsikia Rais Akimeza Vidonge Hivi?
 
Wanajamvi, Mimi Leo Nimemeza Vidonge Wanavyosema Vya Kuzuia Matende Na Busha.Nilienda Zahanati Kwa Shida Tofauti Nikakuta Nesi Amekaa Na Makopo Mengi Ya Dawa,kama Ilivyo Kawaida Yangu Huwa Sipitwi Na Jambo,nikamtupia Swali Kwanini Amezungukwa Na Makopo Ya Dawa.Akanijibu Ni Dawa Za Chanjo Ya Matende Na Mabusha,nikauliza Bei Nikaambiwa Ni Bure,na Kwakuwa Nilikuwa Na Maji Mkononi Nikamwambia Anipe Na Mimi,nesi Akanipima Urefu,akanipa Vidonge Vidogo Vidogo Vitatu Na Kingine Cha Pinki Akaniambia Kuzuia Minyoo. Nikaondoka, Sasa Nimerudi Mtaani Nimewaambia Nipata Kinga Ya Matende Na Mabusha Nikawataka Na Wao Waende,wamenicheka Wamesema Nimejipunguza Nguvu Za Kiume, Sasa Amani Imetoweka Moyoni,na Nimejiuliza Kuhusu Ukweli Huo,nimeingiwa Na Mashaka Maana Rais Kikwete Na Viongozi Wa Serikali Sijawaona Kuzindua Kampeni Hii Kwa Kumeza Hvy Vidonge,mbona Wakizindua Gari Au Bara Bara Huzitesti?Mbona Kampeni Hii Sijamsikia Rais Akimeza Vidonge Hvy?
Aiiiishh!!!
Wajameni , acheni uchonganishi.
Rais wetu Kikwete anywe vidonge vya mabusha ili iwe nini?
 
96fabf46a249348f7bcfd9897d9b4c76.jpg

Wanajamvi, Mimi Leo Nimemeza Vidonge Wanavyosema Vya Kuzuia Matende Na Busha.Nilienda Zahanati Kwa Shida Tofauti Nikakuta Nesi Amekaa Na Makopo Mengi Ya Dawa,kama Ilivyo Kawaida Yangu Huwa Sipitwi Na Jambo,nikamtupia Swali Kwanini Amezungukwa Na Makopo Ya Dawa.Akanijibu Ni Dawa Za Chanjo Ya Matende Na Mabusha,nikauliza Bei Nikaambiwa Ni Bure,na Kwakuwa Nilikuwa Na Maji Mkononi Nikamwambia Anipe Na Mimi,nesi Akanipima Urefu,akanipa Vidonge Vidogo Vidogo Vitatu Na Kingine Cha Pinki Akaniambia Kuzuia Minyoo. Nikaondoka, Sasa Nimerudi Mtaani Nimewaambia Nipata Kinga Ya Matende Na Mabusha Nikawataka Na Wao Waende,wamenicheka Wamesema Nimejipunguza Nguvu Za Kiume, Sasa Amani Imetoweka Moyoni,na Nimejiuliza Kuhusu Ukweli Huo,nimeingiwa Na Mashaka Maana Rais Kikwete Na Viongozi Wa Serikali Sijawaona Kuzindua Kampeni Hii Kwa Kumeza Hvy Vidonge,mbona Wakizindua Gari Au Bara Bara Huzitesti?Mbona Kampeni Hii Sijamsikia Rais Akimeza Vidonge Hvy?

Usiwe na wasiwasi umefanya jambo la maana, hiyo chanzo si ya leo imezinduliwa miaka zaidi ya mitano iliyopita sisi baba alituletea nyumbani maana yeye ni doctor, ni muhimu kuinywa kwa sababu mabusha na matende yanaemezwa na mbu hasa sehemu za Pwani kama hapa Dar, hivyo hayo mengine ni uzushi tu. Usiogope mkuu sisi tulikunywa miaka zaidi ya mitano iliyopita na ni muhimu sana kwa afya yako.
 
Tatizo letu sisi waswahili ni ubishi tuu na mitusi mizito yaani tukikatazwa tusile mafenisi na masheli sheli basi ni kosa ndo maana wengi huwa na mabusha na kiguru chuma
 
Usiwe na wasiwasi umefanya jambo la maana, hiyo chanzo si ya leo imezinduliwa miaka zaidi ya mitano iliyopita sisi baba alituletea nyumbani maana yeye ni doctor, ni muhimu kuinywa kwa sababu mabusha na matende yanaemezwa na mbu hasa sehemu za Pwani kama hapa Dar, hivyo hayo mengine ni uzushi tu. Usiogope mkuu sisi tulikunywa miaka zaidi ya mitano iliyopita na ni muhimu sana kwa afya yako.

Nashukuru Kunitoa Wasiwasi,maana Nilirudi Na Mbwembwe Za Kuwahamasisha Marafiki Zangu Waende Walininyong'onyeza Waliponipa Habari Ya Nguvu Za Kiume Kupungua. Kwahiyo Miaka Mitano Hujapata Tatizo Lolote?
 
Lakuvunda halina ubani watu walishavunda,mwacheni jk mwanamaendeleo yeye ni zaidi ya unavyomfahamu.
 
Kwa hali hii nimekushusha thamani. Hiki ndio Vijana wa CCM mnachokiwaza tu. Huwezi kuweka ujinga kama huu ili kuharibu mantiki ya thread. Ujue mshakunwa tayari na mada hii
We kibatali bora nyamaza tu huna hata cha maana unachosema bawacha wengine kaeni na watoto wenu nyumbani tu mengine hamtayaweza kabisa.
 
Chezea Kikwete wewe ! Unajua yuko wapi wiki hii?
Chanjo ya mabusha na matende hailipi kama kupiga show ya dawa za ARVs !
 
We kibatali bora nyamaza tu huna hata cha maana unachosema bawacha wengine kaeni na watoto wenu nyumbani tu mengine hamtayaweza kabisa.

Hahahahahaaaaa huko ni kuishiwa hoja na kubadilisha Mantiki ya thread. Nilichokisema ndio hicho, kama ni uongo >:) sema. Siwezi kukaaa kimya wakati nimeanzisha thread na subscription fee ya JF nimelipa
 
Wakubwa wa nchi yetu, wanachangamkia jambo lenye maslahi zaidi kwao kama "KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO" nk !
 
Umenikumbusha, jana, wahudumu wa afya walifika kutoa hizo chanjo kazini (shuleni), ilikuwa kazi kweli wanafunzi kuwaelewa hao wataalamu wa afya. Mwisho hao wasekondari walihitimisha kwa kusema,, "waanze walimu, aanze Headmaster" .
 
Back
Top Bottom