Recent content by Genius1

  1. Genius1

    JamiiForums Tanzania Kampala international University 1st year tukutane hapa

    tayarii brazaa
  2. Genius1

    JamiiForums Tanzania Kampala international University 1st year tukutane hapa

    ..
  3. Genius1

    JamiiForums Tanzania TCU mtatuua kwa presha

    nliona ila baadae ikapotea sasa c elew apo
  4. Genius1

    JamiiForums Tanzania TCU mtatuua kwa presha

    Hahaaha kwel raha sanaa dah
  5. Genius1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimechanganya kalamu katika kujaza fomu ya kuomba mkopo

    Dada angu anafanya kazi bodi nmemuelezea kasema, haina shida ila wanachokua nacho makini ni jinsi ulivyojaza online. kama umekosea hata herufi io haitachukuliwa kwanza ila kuhusu peni ondoa shaka. unaeza kwenda kwa wakili akawa na bluu kwa mwenyekiti akawa na nyeusi huezi kimbia dukan kununua...
  6. Genius1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimechanganya kalamu katika kujaza fomu ya kuomba mkopo

    Haina shida hio mzee shusha presha. kinacho matter ni nn ulicho comfirm kwenye internet wakat wa kujaza
  7. Genius1

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    acha kumpotosha dogo, peni yoyote unaruhusiwa lakin isiyo nyekundu au kijani tu wala pendeli. so use black /blue
  8. Genius1

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwa wanao-apply mkopo 2016

    Kwahyo mkuu, sisi wa mwaka huu tufuatilie result slip
  9. Genius1

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwa wanao-apply mkopo 2016

    Wakuu, kuna hali ya kuchanganya.. kati kile kipengele cha kuambatanisha cheti cha form 6.. wapo wanaosema kua waliomaliza mwaka huu wanatuma ivoivo na wapo wanaosema una ambatanisha result slip. msaada kwa mwenye uhakika na hili.. [emoji120]
  10. Genius1

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Result slip
  11. Genius1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya kidato cha sita kutoka Jumatatu

    *jumapili
  12. Genius1

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Hakuna benki a/c inayoitajka saiv. kama utabahatka kupata mkopi then ac. yako wataichukua chuonii.. Acount ni ile uliofungua ukaanza kujaza io ndo ac yako nw.. ukubwa wa picha ni 1mb needed upload kabisa, mwaka huu ni tofauti na mwaka jana walibandika
  13. Genius1

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    yoyote hamna shida.. cz mtandaoni passport tayr ina rangi.. so hawa conside icho sana, ucjali
  14. Genius1

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    yoyote hamna shida. cz passprt mtandaoni ni tayri coloured
  15. Genius1

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Hahaha.. Lipia tena ulog in bro.. cz uki ipeleka ivoivo.. utakosa mkopo n utatolewa kwenye listi ya watu waliokosea.. kubali kuingia hasara cz hamna editing ukisharuhusu kuprint
Back
Top Bottom