Recent content by Genius Mzee

  1. Genius Mzee

    Rais wa Zambia, Hichilema aalikwa Ikulu ya Marekani

    Naongelea heshima ya Nchi Mwinyi ndiye Rais aliyepewa pesa nyingi sana za misaada na mikopo ya Bei nafuu na WB na IMF
  2. Genius Mzee

    Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

    Mzee alikuwa kiongozi R.I.P
  3. Genius Mzee

    Rais wa Zambia, Hichilema aalikwa Ikulu ya Marekani

    Laana ya wizi wa ccm Toka mwaka 2015 Kikwete atakuwa Rais wa mwisho kupata heshima nje baada ya Nyerere, Mwinyi na mkapa.
  4. Genius Mzee

    Makamba toka achaguliwe Wizara ya Nishati, Rukwa hatuna umeme

    Nchi Kama imeuzwa tugawane tu maana sio kwa uhuni huu mnaotufanyia
  5. Genius Mzee

    Makamba toka achaguliwe Wizara ya Nishati, Rukwa hatuna umeme

    Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24. Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku. Inawezekana...
  6. Genius Mzee

    Wakuu mwenye connection ya kazi ya kufundisha Math na Geography katika primary & secondary level

    Wakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography. Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa miaka 5 na primary level kwa mwaka mmoja. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote mwenye connection naomba...
  7. Genius Mzee

    Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

    True January, Nape, Ridhiwani, Kinana na Membe wanahusika na hii account!!!
Back
Top Bottom