Kabla ya wimbi la hama hama nilishauri tuachane na siasa hasa hivi vyama, badala yake tujikite kwenye kuijenga nchi.
Nahisi vyama vina gharama kubwa kuvi*run pesa (zikiwamo ruzuku) ambazo hugawiwa vyama husika zingeelekezwa kwenye afya na elimu.
Bado nina imani tukiwa na katiba nzuri Bunge...
Ni mawazo tu kua ili kupata maendeleo ya haraka tungeachana na siasa hii ikiwa nipamoja na kuweka pembeni vyama vya siasa.
Kwani ni lazima tuwe na vyama ili kuwa na serikali?
Ninavyoona vyama vinaturudisha nyuma na kutumika pesa nyingi na mwisho wa siku tunaishia kulumbana na kushindwa...
Serikali kujipanga kuanza kwa mamlaka ya nyumba ni mpango mzuri utakao punguza makali ya maisha kwa watanzania wengi, hatua ya kupongezwa.
Lakini pia ingekua vizuri wangeanzia kwenye ada(fees) kuangalia upande huo kuanzia nursery hadi vyuo vikubwa watu binafsi wamekua wakijipangia viwango vya...
kwa picha hii tu ni dhahiri tosha marehemu alikua anakiuka misingi...alimuharibu huyu mtoto...pengine ndiye alisanabisha hata asifikirie kwenda college..akamuingiza ktk maisha ya utumwa wa mapenzi akiwa na umri mdogo sana!steve alikua na hatia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.