TBT: Elizabeth Michael Lulu na Marehemu Steven Kanumba

TBT: Elizabeth Michael Lulu na Marehemu Steven Kanumba

2 weeksAgo..Meekmill Goes To jail for prohibition violation for 2 to 4years..Why Not Lulu?Kwa Kesi ya kama Hii america alikuwa anakula Mvua Isiyo Pungua 10years
 
Mh! Nadhani mheshimiwa Judge alitakiwa aone picha kama hizi na agundue kuwa marehemu alimtengeneza lulu kuwa hivi alivo leo! nadhani Karma imefanya kazi yake! nyie wanaume muache kuviharibu vitoto vya watu pia!
 
This too shall pass , inawezekana ni hukumu ya haki kwa kuua bila kukusudia.
 
kwa picha hii tu ni dhahiri tosha marehemu alikua anakiuka misingi...alimuharibu huyu mtoto...pengine ndiye alisanabisha hata asifikirie kwenda college..akamuingiza ktk maisha ya utumwa wa mapenzi akiwa na umri mdogo sana!steve alikua na hatia
 
Hapa kwa picha hii ndipo utakapokubaliana na maneno ya Afande sele.

Yaani hata ukiambiwa ni baba yake usingebisha.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
ya marehemu komba vipiunayo mkuu
man_under_fat_lady_cartoon_by_aldoggartist2004-d5067r2.jpg
 
Mwaka 2012 siku ya tukio Lulu alikuwa na umri wa miaka mingapi anayejua tafadhali
 
Ukisubiri embe liive, utalikuta lilishatepeta maana kuna mibaazazi inatafuna hivyohivyo ikitumia chumvi
 
Back
Top Bottom