Recent content by Genius King jr

  1. G

    JamiiForums Tanzania KERO Wataalamu wa Maabala tuliofanya Mitihani ya Leseni mwezi Machi tunaumizwa na Ucheleweshwaji wa Matokeo, HLPC KULIKONI?

    Wahitimu wa taaluma ya udaktari tunapenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayojitokeza katika mchakato wa upatikanaji wa leseni za udaktari nchini. Kumekuwa na malalamiko kwamba Baraza la Madaktari Tanzania huchukua muda mrefu zaidi ya ilivyotarajiwa kutoa matokeo ya mitihani kwa wahitimu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Nahisi amemaanisha matokeo ya mtihani(kwa maana ya results), kwenye tovuti yao wanasema ni siku 30 lakini watu wanasubiri kwa zaidi ya siku 90, ukiangalia huwezi kuomba kazi yoyote kama huna leseni
  3. G

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Leseni kila mwaka 150000 kuna mwalimu atakubali kulipia?
  4. G

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Yaani kuna muda unajiuliza huko MCT wameajiri IT kweli au wamewekana tu kwa kujuana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Manara ana ithibati ya uandishi au kwa sababu yuko CCM ni ruksa?

    Amazon sasa hivi wana Diploma?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tuwajali waliotutoa mbali, kwenye mazingira magumu.

    Sio lazima umsaidie yeye unaweza kumsaidia mtu mwingine pia
  7. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Buguruni ni kule kwenye mbao lakini wanaanzia usiku
  8. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Nilimpata mmoja ana bonge la shepu kama la Hamisa nikajiuliza huyu anafata nini huku halafu bei ya kizalendo kabisa
  9. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Mimi na nyege zangu tunakushukuru nilienda jana kwa kweli kuna wanawake wa kila aina ni wewe tu halafu bei ya kizalendo kabisa
  10. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Mle sokoni nimezunguka kinoma sijawahi kupaona kila siku narudi na nyege zangu
  11. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Naomba kuelekezwa hilo chimbo la Temeke sokoni
  12. G

    JamiiForums Tanzania Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Hii umeitoa wapi?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Basi apo ni kutafuta mbwa mwingine tu
Back
Top Bottom