Tunamshukuru #Mungu kwa kurudi ukiwa hai, Watanzania tuendelee kuwaombea na wengine wawe salama huko waliko ili siku moja warudi salama. Tuendelee tupaza sauti kwa namna yeyote ile.
Thanks God for being back Alive but ask to #BringOtherAgailWhileAlive, #BenSaanane,#AzoryGwanda, #SimonKanguye at el.
Poleni na harakati makamanda.
Leo nimerudisha fomu ya kugombea UKATIBU MKUU-BAVICHA TAIFA.Nawashukuruni nyote ambao mnaendelea kunitia Moyo na kunitakia mafanikio katika kuja kuliongoza BARAZA hili ambalo ndo nguzo kuu kwa Chama chetu(CHADEMA) katika kufikia lengo kuu la kushika DOLA...
Tangazo Tangazo: Chadema Students Oganisation (CHASO) mkoa wa Dar. wanakualika kwenye sherehe za MAHAFARI ya kuwaaga wana Chaso mwaka wa mwisho vyuo vikuu vya Dar. Ni kesho J/pili tar 15/06/2014 katika ukumbi wa Msimbazi center kuanzia sa 3:0 asbuhi. Mgeni rasmi atakuwa ni Mabere Malando...
Wakoloni weusi wa pili hapa tz tunajua wana polisi, usalama wa taifa, tra na fedha zetu wananchi wanazitumia kuhakikisha wanadidimiza mambo hata wafanyabiashara, wanawahonga wengine wanaojitoa ufahamu hata kuwaua wengine baada ya hapo wanaunda tume ambazo hadi leo tume hizo hazijaleta majibu...
Muwe mnawaonea watu wengine huruma muda wao katika uelewa bado maana hata kwa wale wanaovuta sigara husema stimu zinapanda taratibu muda ukifoka watatufuata na kujiunga,hawajaona mabaya kutokana na uelewa kiinchi, tumetangulia mtatukuta.....?
Breacking newsssss......!!!
Hallow taarifa kwa wanachama,na makamanda wa chamanda kutakua na uchaguzi mwezi wa tatu tarehe 16.03.2013 siku ya jumamosi.wanachama kwa anahitaji kuwa kiongozi fomu za kugombea zipo tayari pata haki ya kikatiba.kwa maelezo zaidi ingia kundi (group) la facebook...
karibuni sana watanzania wote:-
chadema, peoplesss power. Tuungeni mkono, tuchagueni, tupeni fursa muone tukishindwa tupigeni chini. Tusije laumu kwa mara nyingine maisha magumu wakati falsafa yao walisema maisha bora kwa kila mtanzania haipo.
Naamini mtu kuwa chama fulani si kosa maana huenda...
m4c......vua gamba, tema sumu zako then vaa gwanda, vua ukada uwe kamanda ndani ya viwanja vya jangwani dar leo kuanzia saa saba mchana, wahi uungane na ujionee jinsi chadema ikiongozwa na mbowe,dr. Slaa, heche(bavicha-taifa), chaso's will be there na wengine wengi wakiinjilisha vilivyo ujue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.