Recent content by General M

  1. General M

    Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi, nimeambiwa hatutaweza kunufuika na mfuko wa PSSSF. Ni kweli?

    Hii mpya sasa,maana niliskiaga wanatoa kwa miezi kadhaa..labda kuna makadilio yasiyoyawazi
  2. General M

    Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Mzee Mzee kachosha watu.
  3. General M

    SUV kali za kichina hizi hapa

    Only Mercedes benz 190e,124d,e
  4. General M

    Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    nilkua mchezaji mpira,nanimicheza timu nyingi tu mpaka kufikia TASAF kunipa offer ya kunipeleka Sweden km nitaweza kujilipia nauli ya kwenda,kurudi ni juu yao. ..kiukweli sio mshabiki wa mpira,bet,wala pol....Nawaza muda ninaotumia kuangalia mpira n bora nikavuta bia mbili nikiskiliza...
  5. General M

    Kwa kianzio cha bajeti ya 25M, naweza kufikia hatua gani ujenzi wa nyumba ya vyumba 4.

    Nyumba anayoitaka pasa tu inacost 20+m Nimejenga nyumba ya room 5. room 1 single 3 self 1master suite room. Imecost 45m mpk kupaua...na tation nimetumia 14 ndoo ndogo kwa mfuko wa cement.tofali 5500. Jamaa anataka bungalows ujipange sana.
  6. General M

    Clearing Forwarding Agent.

    Soma vizuri tangazo mkuu
  7. General M

    Clearing Forwarding Agent.

    Soma vizuri tangazo mkuu
  8. General M

    Clearing Forwarding Agent.

    Nilkua huko nafatilia utaratibu,ngoja nijaribu ndugu.
  9. General M

    Clearing Forwarding Agent.

    Shukrani mkuu,nashughulikia.
  10. General M

    Clearing Forwarding Agent.

    MOJM Clearing Forwarding Agent Tunatoa huduma za Clearing forwarding za aina zote Mahala ni bandarini na airport mizigo kama container,magari,loosecargo na parcel.. Charges zetu: => 20ft......200$ including VAT. => 40f.......250$ including VAT. => Loosecargo....1 tone.......150$ including...
  11. General M

    Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

    Mtu analeta mambo ya Bethlehem bongo
  12. General M

    PreGE2025 Makalla: Wafungwa chini ya miezi sita (6) watapiga kura Uchaguzi Mkuu

    Msaada Wana jamii hbr za majukumu. kuna jamaa alikwenda kwa dada angu kuomba kuazimishwa kias cha pesa..sept 2024..akiahid kurejesha 27 October 2024...lkn muda wa kurejesha ulipowadia yule jamaa hakurejesha na akawa mtu wakuahid tareh za kulipa lkn halipi... January 2025 dada alienda ofisin...
Back
Top Bottom