Walevi wakikutana hujiona hakuna aliyeyapatia maisha Ila wao, cha ajabu asubuhi wanaanza kupiga mzinga hata hela yaa supu, hivi akili zao unawezaji kumpa sifa mtu kama huyo!? Hamnazo! Yaani yule nati tu moja.
Zero analysis, mpango wowote lazima upite kwenye uhalisia wa mpango kazi wenyewe, Sasa ccm ya kijani kwa kuiba kura? ccm ya kijani kwa kutumia dola? ccm kijani kwa tume charles mahera? Kimsingi mpango wa ccm ya kijani ulikuwa wa kwenyee makaratasi tu, hakuna kilichotekelezwa.
Kuna mtu hapo unamuogopa kumtaja, huyo mtambo wa atomic, ccm mpaka sasa wameshakaa vikao visipopungua 1000 tangu ametangaza nia ya kugombea, siku ile ametangaza tu nia wakaibuka na kesi ya mwaka 2016 hii inaonesha ni kwa kiasi gani wamepagawa. Hawana mwanasiasa wao wana field marshal.
EPA ni jibu tosha. Kama unataka nyongeza kuna deep green, merereta na nyingine. Unapoandika jifunze kuiweka akili yako kwenye ubongo ili ueleweke, usiweke sehemu ya kukalia.
Chama cha mapinduzi ni waoga, tuliwaambia toka mwanzo kama kweli mtu wao anakubalika mbona figisu nyingi? Yaani wanahangaika acha, sasa wameingia time, tume bila aibu inafanya mambo ya hovyo, hapa ndipo umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Shit!
Tunataka TAKUKURU ifanye uchunguzi kwa ccm na viongozi wake,hofu yao ya uchaguzi isiwe kigezo cha kutumia vyombo vya dola kuhujumu vyama vingine. Kama takukuru ina nia ya dhati kusimamia fedha za vyama vya siasa Basi isioneshe upendelea wenye nia hasi, cuf tuliambiwa walitoa fedha kwenye akaunti...
Tunahitaji watu jasiri wanaoweza kumuambia mfalme kuwa umekosea bila woga,kwasbb hakuna mfalme bila watu. Mkimuogopa mfalme na akajua mnamuogopa mtaumua,atawapeleka atakavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi,kasahau kuwa yeye ni spika anaongoza muhimili unaojitegemea. Kwa alivyo Ndugai anaongeza kasi ya madai ya katiba mpya, ndugai kaonesha ni aina gani ya spika tunamhitaji, kama kwa aina ya uspika wa ndugai akikaa miaka kumi basi hsdhi ya taasisi hii itapotea kabisa,kwa hakika ndugai...
Kichwani ana shida,pili bundle za Polepole zinawasumbua, kwasasa taifa linahitaji brain lkn yenyewe yanawaza utumbo yaliyoambiwa na Polepole,yanashindwa kutofautisha wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Vichwa vyenu vinahitaji tiba,WB walipozuia $500 mliwaita mabeberu,walipozitoa mkawaita WB sasa tuwaelelewe vipi? Manung'ayembe!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.