Ni shs 15,000 kwa gram 100 kwa barua za kawaida ila gharama zinaongezeka kidogo kulingana na uzito uliozidi....kwa Mjini mzigo utamfikia mlengwa siku inayofuata baada ya kuwaachia hyo parcel yako.
Muombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku...
Mkuu nashukuru sana kwa huu uzi ulinipa taarifa muhimu sana za muziki mzuri,,,sahv nipo naenjoy tu na PANASONIC SC-VKX65,,,kweli jamii forum ni sehemu unaweza faidika sana kama ukiwa serious na Mambo!!!
kaka mimi nakubaliana kabisa na ww na ndio maana kuna wakati fulani kuna familia inaweza kuwa na watu wenye magonjwa ya akili(uchizi) na hivyo usipokua makini kujua haya waweza kuja kupata watoto machizi pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.