Recent content by Geja

  1. G

    JamiiForums Tanzania Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Nisingekiona KAMPALA kwenye hii list ningeduwaa kwa kweli!!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za wanaume wa shoka

    Mungu hakunyimi vyote akikunyima akiri atakupa Ujinga Geja himself frm Uzalamoni
  3. G

    JamiiForums Tanzania Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    majibu kuntu haya mana tunaishi kwa story za vijiwe zaidi dizain ya ile watu wamegandana Temeke nyomi likajaa hospital kumbe wehu flan tu wamezusha!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Ndo huwa wanawaitaga wanaume wa Dar... full kuogopa wazungu yan
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

    Pole broh.. Ila dah waandishi wa bongo bwana wakiitwa makanjanja wanamaind lijamaa limejipambanua kabisa na GIDION MASANJA Ila halahala wasije kukununua tena ukaanza dondosha makala huko tena tukapeana kazi ya kununua migazeti ya RAI kila kukicha ni bora hata utoe vitabu tutanunua c hayo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dunia (earth)

    hii mada nlishawai kuiona hapa jukwaani kdg mtoa mada alikuwa na baadhi ya hoja zenye Mashiko ila kwa huyu wa leo naona hoja zake ni dhaifu sana sa mfano anadai Antactica ndo ukingo wa dunia kwenye flat earth sa duara gani lenye ukingo sehem moja tu.. ama hyo Atanctica imezunguuka duara...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mageuzi kiteknolojia katika Ulinzi wa Rais Trump

    ...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Trump apewe nuclear codes

    mkuu unapoandika makala yoyote lzm uwe na source tofauti ikiwemo internet ,makala na vitabu tofauti ukiandika makala toka kichwani bila ya kuwa na source hyo inakuwa hadithi za kusadikika!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

    Kweli kbs na Mungu anamuona!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Machali ni Moses
  11. G

    JamiiForums Tanzania Jionee mchanganuo mbashara wa deni la HESLB

    Inategemea ulikuwa unapata asilimia ngapi kama 100% ukawa unamtambia wa 40% acha muda uongee!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya rifaro imekufa

    Wajinga ndo waliwao... Na hii NAMAINGO cjajua mwisho wake mana nikipita pale makao makuu yao Ukonga nakutaga bonge la shazi alaf Bi Mkubwa mwenye hyo mishe lyf lake dizain limechange ghafla hv!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mi naona hawa wasomi wanatuzingua tu kwa sababu hata huo muhimili ulioshikilia dunia hata cjui unapatikana maeneo gani ya Dunia hii
  14. G

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kwa hyo hilo bara la Antractica limezunguuka dunia nzima.. Maana kama ni duara ukingo hauwezi kuwa sehem moja ya dunia!
Back
Top Bottom