Recent content by gefrah

  1. gefrah

    JamiiForums Tanzania Kilichomng'oa Dr. Hosea Takukuru hiki hapa!

    Naunga "mkonyo" hoja.😊😊
  2. gefrah

    JamiiForums Tanzania Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

    Huo ndio ubabaisha ambao wengi wetu tunausema, ubaishaji kwenye utendaji, ubabaishaji kwenue ufatiliaji na ubabaishaji kwenye uchaguzi wa viongozi na sasa inaonekana kuna aina nyingine ya ubabaishaji "UBABAISHAJI KWENYE USIKILIZAJI"
  3. gefrah

    JamiiForums Tanzania Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

    Nadhani ingekuwa busara kama ungetupa list ya hizo kampuni.
  4. gefrah

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme vijijini REA ulikuwa ni wa kuinusuru CCM

    Mjini mipango.
  5. gefrah

    JamiiForums Tanzania Magufuli usitumie mshahara wako, tuwekee namba ya M-Pesa tukuchangie

    Mchango wa harusi/send off ya ndugu yako bado hujatoa hiyo namba ya M Pesa itakusaidia nini?? kodi tunazokatwa zinaenda wapi?!?
  6. gefrah

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark james mwandosya

    Kuna mtu kanitumia picha kwamba tano bora imetoka, ni kweli?
  7. gefrah

    JamiiForums Tanzania Why wanapenda maongezi ya simu?

    Mapenzi yenu ya kitoto!
  8. gefrah

    JamiiForums Tanzania Why wanapenda maongezi ya simu?

    Penda upendwapo, kuna uwezekano umemchoka huyo mtu, au hauna hisia zozote juu yake kiasi kwamba ukiona simu zake unakereka, Jipange.
  9. gefrah

    JamiiForums Tanzania Kimsingi kiasili na kisayansi mwanaume hana mwanamke mmoja

    Kama unabisha we jeuri, bible inasema mwanaume alifinyangwa na mwanamke alitolewa kwenye ubavu wa mwanaume. (Fact)Mwanaume ana misuli mingi kuliko mdada, kumiliki kundi la wanawake ni moja kati ya mambo ya kimaumbile, na kama wewe ni mwanaume na unapinga, bila shaka una matatizo, Jiangalie....
  10. gefrah

    JamiiForums Tanzania Hii ni kawaida au ndio mwanzo wa kuchokwa?

    Hamu ni jambo la kisaikolojia, ni kitu cha kutengeneza, kwa nini asiitafute huko ilipo? Siku ya kwanza, hata siku ya pili poa
  11. gefrah

    JamiiForums Tanzania Hii ni kawaida au ndio mwanzo wa kuchokwa?

    Utetezi wa kitoto huo, kwa nini "hasinipe?" Hakuna cha kusubiri kuna jambo hapo, "hana hamu ndio nini??" Siku zoye hizo hiyo hamu nani kaichukua...?
  12. gefrah

    JamiiForums Tanzania Hii ni kawaida au ndio mwanzo wa kuchokwa?

    Ningekuwa mm ningempelekea moto hivyo hivyo , angejesikia huko huko liwalo na liwe...
  13. gefrah

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Yanga....
  14. gefrah

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Haya tutajieni lineup ya wapiga penati.
  15. gefrah

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Sheria dakika 30 muhimu.
Back
Top Bottom