Kilichomng'oa Dr. Hosea Takukuru hiki hapa!

Kilichomng'oa Dr. Hosea Takukuru hiki hapa!

Hawa wakurugenzi watatu na katibu muhtasi waliosafiri nje ya nchi hata baada ya kukosa kibali cha kufanya hivyo na kutotii agizo la Mh. Raisi pia ni dalili tosha jinsi taasisi hii ilivyopoteza muelekeo na kukosa maadili. Kweli Tanzania we have long way to go.
 
Hata hivyo amechelewa na kufanya hivyo ni kutafuta milleage tu kwani Hosea kikatiba Muda wa kustaafu umeishafika na utumishi wake ulikuwa unaisha february mwakani
 
Another good move for my papaaa???????????? Unaendelea kunishawishi tomaso mie
 
Hata hivyo amechelewa na kufanya hivyo ni kutafuta milleage tu kwani Hosea kikatiba Muda wa kustaafu umeishafika na utumishi wake ulikuwa unaisha february mwakani

Vp mafao atayapata?? Na je kuondoka kwake kwa namna aliyoondoka huoni ni credit kisiasa??
 
Sikuwahi kufikiri kama hii taasisi ipo miaka mingi kiasi hiki na mbona RUSHWA imetoka mizizi kiasi hiki?
nadhani ufagio huu ungeanzia juu mpaka chini mpaka wafagizi wa taasisi naamini rushwa zinaanzia chini mpaka juu,
hakuna njia zaidi ya kuanza upya tu
 
hii nchi kuna wanaviburi yaani Raisi anatoa amri wao wanakaidi? au walijua bado wapo enzi za Rais rahisi!

huyo edward hosea wakati ule si alinukuliwa na wikileaks akidai kuwa Rais rahisi hakuwa na nia ya dhati ya kupambana na rushwa?
 
Tena nashauri wapigwe bani wasipate nafasi kokote kama ilivyowahi kutokea from 1990 kwa Jamaa mmoja ambaye mwaka juzi ndiyo alisamehewa na kupata ajira 'tena kuwa mwalimu'.

Serikali ifanye utaratibu wakati unaomba kazi unaandika kwenye CV pote ulipofanya kazi unaandika anuani, namba za simu na wakubwa wa kazi waliokuajiri ili wanapoomba kazi muajiri aandike barua kutaka kujua aliondoka huko kwa ajili ya nini ndipo ajiridhishe kumpa kazi la sivyo tutapokea mijizi tu kila sector
 
Back
Top Bottom