Recent content by geek01

  1. geek01

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung A10 Dual sim 32GB internal + 2GB RAM 6.2" 13 MP Bei 255,000 exchange kwa simu nyingine na hele inawezekena
  2. geek01

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

    Nimepata tatizo la kifedha mkuu inabidi ninunue simu nyingine baadae mwisho wa mwezi.
  3. geek01

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

    mimi ninayo samsung A10 bado mpya bei 250k tu. nipo dar
  4. geek01

    JamiiForums Tanzania Infinix s3

    Nikupe Infinixy smart 2 nilinunua week iliyopita 230,000. Nikuongeze na hela kidogo?
  5. geek01

    JamiiForums Tanzania Nauza carpet, dressing table ya mbao ngumu na kochi la watu wawili

    Chukua 200k vyote nije kesho kuchukua, maana ninapokaa usafiri itakuwa 35,000 nitalipa mwenyewe.
  6. geek01

    JamiiForums Tanzania Viuatilifu vyenye nembo bandia vyakamatwa Mbeya

    Tatizo ni kutumia tu nembo ya mtu mwingine lakini bongo hawachelewi kuchoma moto mzigo wote wa mil 600.
  7. geek01

    JamiiForums Tanzania Masikini akipata...

    naniiiiiiiiiiiiiiii???? unaassume wote tunamjua au?
  8. geek01

    JamiiForums Tanzania Mkopo chapchap

    sekta binafsi jamani,msitubague
  9. geek01

    JamiiForums Tanzania University offer ya voda imebadilishwa au?

    halotel bei zao vipi?
  10. geek01

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

    Charger 23000 Modem 12000 Masaliano zaidi PM ndugu
  11. geek01

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

    Very true
  12. geek01

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

    Dar. Nimekupm Sent using Jamii Forums mobile app
  13. geek01

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

    Ni kaTecno kadogo tu ndugu, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. geek01

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

    20,000 tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. geek01

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

    Zamani kweli kulikuwa na unyonyaji japo saivi wanasena wamebadilika baada ya kubanwa na serikali n watu kulalamika. Tatizo ni kuwa mwajiriwa huoni mkataba kati ya hizo kampuni mbili so huwezi jua kama unachopata unastahili au vipi. Kwa case yangu at least mshahara ni mule mule kama niliowatajia...
Back
Top Bottom