Recent content by Gedeli

  1. Gedeli

    JamiiForums Tanzania DED wa Mtama na Mkurugenzi wa umwagiliaji wamkimbia Waziri mkuu na kuzima simu, mh Majaliwa awataka kuripoti Dsm kesho asubuhi

    Kwa akili yangu nahisi TISS inafanya kazi na wamepandikizwa wengi ktk maofisi ila wanapokosea ni kupeleka majibu kwa rais na waziri mku ambampo huzitumia taarifa hizo kujikweza ktk ziara zao. Kwanini hizo taarifa zisipelekwe kwa DC, mbunge, takukuru na mambo yakashugulikiwa mapema bila kusubili...
  2. Gedeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga mnakwama wapi? Kwanini uchaguzi msifanyie ukumbi wa kimataifa kama Simba?

    Ndiyo hatuna hela fulahi basi
  3. Gedeli

    JamiiForums Tanzania CAG anasa Mkurugenzi alisafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais

    hapo sasa kuna siku nilimsikia speaker akisema riport ya CAG ni audit query hi ilikuwa ni upotoshaji kabisa. navyofahamu ukifanyiwa audting unambiwa walichoona na unapewa mdaa wa kujibu na kurekebisha kama kuna mahali wamekosea usipojibu katika mdaa muafaka wanaenedelea na kutoa riport kamili...
  4. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Shukrani kutoka kwa Freeman Mbowe

    ni kweli
  5. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

    Ndege huwa haipai kwa nyuzi 90 hata siku moja labda rocket
  6. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Nimebahatika kupanda ndege yetu ya Dreamliner toka Mwanza mpaka Dar

    Tena dude la fast jet lilikuwa linatumia saa moja na dakika tano tu mtu umeshamaliza safali yako
  7. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ndiyo ameuona sasa utendaji kazi mbovu wa Jeshi letu la Polisi?

    kama alivyosema watanzania sio wajinga tunaelewa yaliyo mkuta MO, aliyekuwa mwenye kiti wa Yanga ,Zakaria na matajili wengine tunaohisi utajili wao siyo wa halali. mzee kajisalimisha yangemkuta nae lazima waishi kishetani
  8. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Je DK Slaa atarudi CHADEMA kumpisha Edward Lowassa ambaye ameshamaliza kazi aliyotumwa?

    No way waache wabaki hukohuko sie tutaendelea kupambana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Gedeli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga Jamhuri mahakamani Rufaa ya DPP kutaka Mbowe na Matiko kukaa mahabusu kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Mahakama imeagiza faili lipelekwe mahakamu kuu huko si litakutana tena na yule aliyesababisha haya na baadae kupewa zawadi ya ujaji !!!!
  10. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Watanzania wa ughaibuni Wasema hawataki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa

    Wekeni hi kwa future records. wanaopenda si wataenda wenyewe bila kupitia umoja wenu huo.
  11. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Hivi Robert Kisena ni nani?

    aliwahi kujinufaisha na kiwanda cha oil mill nwe era mwanza wakati wa Nyanza ezi zile kwa njia ya ujanja ujaja ila nasikia kisha pigwa biti na kurudisha
  12. Gedeli

    JamiiForums Tanzania DED wa Itigi: Ninapakaziwa kesi ya mauaji

    Hapo hakuna cha pumu wala presha ni mazingiraa tu asikae lupango wao wanapenda kuweka wenzao kumbe wao waoga mkuki kwa nguruwe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gedeli

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yawaachia huru waliojiunganishia bomba la mafuta baada ya DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka

    Yaa ndoo maana yale mabasi siyaoni sikuhizi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa

    hicho ni chakula cha kushitukiza hakuna mtu aliyewaza kumzuru mkuu kupitia dafu na kama kuna vidudu mwenzio anapimwa kila siku atapata matibabu kabla hata hao wadudu hawajaanza kuzaana
  15. Gedeli

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ukikamilika kuifanya kuwa bandari kubwa zaidi ya ROTTERDAM

    kama mpango huu bado uko katika matarajio kwanini tumefanya ukarabati mkubwa katika bandari ya Dar es salaam Km Chache kutoka Bagamoyo!!!!!!
Back
Top Bottom