Umoja wa Watanzania wa ughaibuni Wasema hawataki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
1550136498436.png

Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.

Kupitia barua iliyoandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.

Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa.

"Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.
 
View attachment 1022182

Hiyo itakuwa ni Ujermani ya mashariki!........hahahaa!
 
Wekeni hi kwa future records. wanaopenda si wataenda wenyewe bila kupitia umoja wenu huo.
 
Huo utakuwa umoja wa CCM ugaibuni anaotumia kivuli cha umoja wa watanzania waishio ugaibuni. Wahuni tu hao
 
Huyo Mkanja lazima ni zuzu Fulani hivi kutoka Chama Cha Mazuzu
View attachment 1022182
Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.

Kupitia barua iliyoandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.

Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa.

"Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.
 
Acha watu wajikombe. Kujikomba kunalipa Tanzania.

Barua ya Ibrahim Makunja ina matatizo ya msingi pale anaposema kuandaa mkutano wa aina hiyo ni uhaini na kuleta choko choko na vurugu. Yeye angesema tu (kama ni kweli) katiba ya umoja huo hairuhusu kuandaa mikutano na vyama vya siasa kutoka Tanzania. Hawezi akawazuia wengine kuandaa mikutano hiyo nje ya umoja huo kama katiba na sheria za ujerumani zina ruhusu. Na niwazi anaowalenga ni vyama vya upinzani vya Tanzania na Tundu Lissu in particular. Cha kuchekesha ni pale asemapo umoja wao unashughulikia maswala ya maendeleo tu na anasahau kuwa popote pale duniani maendeleo yako katika ajenda za kisiasa.
 
Back
Top Bottom