Recent content by GECHANYA

  1. G

    Fedha katika uchaguzi - kama huna fedha kaa ukisikiliza hotuba za Nyerere

    Jamani ulafi WA ccm tumweke mwalimu pembeni kwani alikua ni MTU mwenye uelewa mkubwa na mtazamo mpana kuliko wazembe watu walioko ccm Leo. Ukweli no kwamba kiongozi yupi amepata madaraka ccm Leo bila rushwa ajitokeze tumuone kama c unafiki tu Ninachosema,CCM waache ngonjera zao,kama huna...
  2. G

    Kilichosababisha Zitto Kabwe kufukuzwa CHADEMA na tahadhari kwa watanzania wapinga Ufisadi

    Tatizo mnapenda kujificha wakati na nyie ni wabovu. Waganda wanasema heri ya Simba umjuaye kuliko Simba usiye mjua. Leave CCM lead the country.
  3. G

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Mweshimiwa lie so muhumini wa EL wala Mgombea yeyote kati ya waliopo. Ila maswali yako ya kinafiki na hayajengi hoja ya kufikiri ila kutujulisha una mtu ana kusukuma 1 . Gazeti la Raia Mwema la Novemba 2010 ,liliripoti na kuonyesha picha ya nyumbaambayo familia yako inamiliki Uingereza...
  4. G

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Watanzania tunapenda sana kujadili watu luliko idea ili nitatizo kubwa. Na humu mnavyo changia hoja hizi kila MTU anataka mgombea wake ndo awe na sofa bora
  5. G

    CCM ina wabunge wanne tu!

    Hao ni majembe kweli kweli.
  6. G

    Zitto Kabwe: Marufuku wabunge wa CHADEMA kuisifia serikali ya CCM!

    Sija elewa shida kubwa tulio nayo watanzania wenzangu nikutaka kubembelezwa hata kwenye mambo ya msingi. Zito hana kosa kutoa hamri kama kiongozi wa kitaifa kwa wanachama wake, Makamanda tukumbuke tuko vitani mpaka tu fanikiwa vita hii ndo muanze kulaumiana na jeshini hamna polite language. Zito...
  7. G

    Gesi Haitoki: Waraka wasambazwa kote Mtwara wananchi kusikiliza kesho bajeti ya Nishati na Madini

    Watanzania tufikie maali tuwe makini na rasilimali za nchi yetu, kwani viongozi wetu wanapambana nazo kama vile ni mali ya wizi. Kwani kunahaja gani ya kutandika mabomba kwenda kinyerezi wakati hali ya maendeleo kusini hairidhishi na ukiangalia vijana wa kusini ndiyo machinga wanao dharaulika...
  8. G

    utumishi kwa mara nyingine tena.

    Jamani Tanzania ni mmoja milele na wote tuta pita na tuta hiacha tukubali tusikubali, hakuna haja ya kutafuta machafuko ya kidini wala kanda bali tufikirie tuta ijengaje Tanzania kwa pammoja ili watoto na wajukuu waje wajivunie nchi yao tukisha toweka. Hamini husiamini nchi hijengwi kwa vita...
  9. G

    Pictures of CORD's final political rallies!

    Tuna taka mtu wa kusaidia wakenya wasio na shamba wapate and no noe other than Raila, ambaye hana shamba la kuzurumu wananchi.
  10. G

    Tanroads kibaha.

    Jamani siyo kibaha tu hata lindi matatizo tu, haieleweki kama usaili umefanyika wala nini. Tena ndo panahitaji uchunguzi zaidi. Naombeni namba ya magufuli tumuulize kama wasaidizi wake ana waamini kweli kwa madudu wanayo fanya.
  11. G

    Beno Malisa; kwa hili la NYALANDU unastahili PONGEZI.......

    Kaka katika hili hamna jipya kwani mie nabaki mdomo wazi kuwa nani ni msafi. Baba kaingia madarakani na EPA, siasa chafu, mtoto katajirika sekunde, mama mjumbe wa nec taifa, na bia mawaziri takribani wote maswaiba. Kwa haya yote mta tudanganya watanzania mna lengo lakujenga nchi kweli, ebu...
  12. G

    Koffi Annan and Mkapa to support Kenya achieve peaceful elections in 2013.

    Watanzania tunapenda kuropoka sana bila kufanya utafiti, Mkapa ana mengi mazuri katika nchi na hata katika uchumi wa nchi walio mreplace walimchafua ila mpaka sasa wamefanya nini? kama hata fedha za epa aliziacha benki kuu ila kwete na walafi wenzake walizikomba ili wafanyie kampeni. Tuna kubali...
  13. G

    Bavicha vs uvccm

    Nilitegemea kuona uwezo wenu kupanga hoja kama viongozi vijana wenye malengo ya kulikomboa taifa kwenye janga la viongozi uchwara kumbe nyie ndo hamna kitu.
  14. G

    Chadema waifanyia hila cuf.....?

    shida yetu kubwa watanzania ni kutokua na sera safi, siasa safi, na uzalendo kwa taifa letu kwani hata hoja za msingi tuna ingiza upuuzi kuanzia mwanzo hadi mwisho. Vijana wa Tanzania tuwe makini katika mambo ya taifa na tuepukane na magonjwa tunayo ambukizwa na wazee waliyo ifilisi nchi...
  15. G

    Chadema sio chama sahihi cha mabaliko

    Watanzania tulio wengi tuna penda kutukana bila kuchangia oja iliyoko mezani, tujaribu kuchangia hoja na pia kupunguza lawama kama watu wenye kufikiria vizuri.
Back
Top Bottom