CCM ina wabunge wanne tu!

CCM ina wabunge wanne tu!

Katika orodha hiyo sijaona wabunge wa kutoka mikoa ya Pwani
 
Mnakidsnganya kuna wabunge hawapige makelele Bungeni lakini wanatejeleza ahadi zao! Wengine huo wanachangia kupitia maandishi! Kama utendaji wa mbunge ingekuwa kuropoka tu... Wapo wengi wa CCM waliokuwa mahiri lakini walidindoshwa na wananchi
 
Ukifuatilia mjadala wa bunge unaoendelea utagundua CCM ina wabunge wanne tu ambao wanawatendea haki wananchi waliowachagua na watanzania kwa ujumla.

Wabunge hao ni Alphaxard Kangi Lugora (Mwibara), Deo Filikunjombe (Ludewa), Ally Keissy Mohamed (Nkasi Kaskazini) na Luhaga Mpina (Kisesa). Wengine waliosalia ni magalasha tu wa kujaza viti bungeni kupiga makofi meza zetu hata kwa mambo ya kijinga kabisa.

Ndio maana utawasikia wanasema wanaunga mkono asilimia mia kwa mia kitu ambacho hakuna wizara inayopata mia kwa mia katika utekelezaji.

Hawa wanne nawatia moyo wasiogope kukolimbwa kwani vita yao ni ya wananchi si ya CCM.

Nampenda sana Esther Bulaya (Si Kimapenzi) walau yeye huwa anachangia vitu vyenye mashiko
 
Baada ya kikao na mwenyekiti wao hutawasikia tena maana watapigwa misumali na vila...za wasiolitakia mema taifa letu
 
mkuu Tulimumu kwani ccm ina jumla ya wabunge wangapi?ili tuanzie hapo
 
Last edited by a moderator:
mkuu Tulimumu kwani ccm ina jumla ya wabunge wangapi?ili tuanzie hapo
 
Last edited by a moderator:
mkuu Tulimumu kwani ccm ina jumla ya wabunge wangapi?ili tuanzie hapo
 
Last edited by a moderator:
Na CDM ina mbunge mmoja tu Prof Kahigi peke yake wengine puuumba.
 
ndugu Tulimumu ni kweli kabisa kwa CCM ni wabunge hawa tu ndo wanaonyesha uzalendo hasa Deo Filikunjombe michango yake bungeni imejaa hekima.
Luhaga Mpina na Lugola ni wabunge smart pia. Ally Kessy anajitahidi ila wakati mwingine sio mwangalifu kwenye matamshi yake.

Kweli mkuu
 
ktk bunge hili nemegundua hakuna jembe ccm. Hata wale bora wa ccm wote wakishatoa majibu ya hovyo yasiyotosheleza kwa kujiamini na siasa nyingi,ng'we inayofuata huwa wapole sana na wanaojiheshimu.

Hii nimeona hata kwa magufuli,mwakyembe na wengine.Ni wazi kuwa viwangu duni zaidi itakuweje? "SAFU YA WABUNGE WEPESI" inatia huruma sana.

Sasa hivi imefikia hadi punzi zinabadili sauti zao za kujiamini.Wanahema.wanawaogopa chadema ambao kura hazitosho zuia hoja?Je wangekuwa majority?
 
Hawa ni wabunge waliowahi kuvuma kule CCM kwa kujiweka mstari wa mbele kuwa ni 'watetezi wa umma' na kisha kutokomea kimyaaaaaa ndani ya mifuko ya 'Waheshimiwa Mafisadi' wanaokishikilia chama chao hivi sasa.

'Buriani' ewe mwanasiasa Ole Sendeka uliyewahi kunikonga moyo na kukupoteza jumla kwa lile kundi hatari lisilokua na huruma hata chembe na chochote kilichokusudiwa kuleta ahueni kwa umma wa nchi hii.

Ni kweli mkuu,wabunge kama akina Ole Sendeka na Richard Ndasa ni janga kwa majimbo yao.
 
Ester Bulaya
yah hata huyu binti anajitahidi kutetea wananchi tutamvua gamba na kumvalisha gwanda
 
Back
Top Bottom