Unvyosema wengine wanaona aibu kufanya baadhi ya biashara unamaana vijana waliomaliza Bachelor hata Masters Degree nao wasione aibu kuuza kashata na visheti barabarani?
Hellow guys!
Naomba nitumie ukumbi huu kupata habari. Kuna askari wa JWTZ amenieleza kuwa Wilaya ya ilala inaandikisha vijana wote waliopitia JKT kwa lengo la kuwaajiri, Kama kuna mwenye uhakika wa habari hii anijulishe au kama ipo tofauti anifafanulie.
Kikwete amehakikisha Ridhiwani ameajiriwa, amefanya vizuri pia ni mfano mzuri kwa graduate wooote. Mtoto wa mkulima unanishawishi nijiajiri, wakati Raisi anapambana mtoto wake aajiriwe au unadhani Raisi alikosa mtaji wakumpa mtoto wake? WENGI waliojiajiri waliajiriwa au wameajiriwa. Kujiajiri...
Mdau naona hapa umebase kwa aliyeondoka Serikalini na kurudi kwenye sekta ileile. Vipi aliyebadili sekta? Mfano uliondoka bila taarifa kama mwalimu unarudi Serikalini kama polisi.
Hivi unaanzaje kuropoka kwa mwenzio kiasi hicho. wacha ujinga wewe. unataka JF ionekane haina maana yeyote? Ama kweli ukitaka kujua mtu ni mjinga kiasi gani chunguza mambo anayoyafanya akiwa peke yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.