Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

Tatizo la watz wengi wanapenda kupewa mahope, nimempa facts, mim nina masters degree ya tax administation, nilimaliza cho miaka 4 iliyo pita ckupata kazi, nilishauriwa niongeze elimu, nilifiata ushauri huo. Leo mim ni lecturer ktk taasisi fulani hapa bongo, how does it sound? Nasisitiza arudi shule, unapo ongeza elimu ni kwamba unasogea kwenye daraja la wachache upo?

naelewa ila nadhani haukuwa na bahati tuu maana mimi nilivyomaliza tuu nilipata kazin kwenye shipping line kubwa tuu duniani ila ofisi zake zipo pia africa na ndiyo iliyonileta Tanzania kutoka kwetu mpaka leo hii, halafu hiyo masters ndiyo nategemea kumaliza lakini nimeshafanya kzi, ni vizuri kuumpa mtu matumaini na pia kwa watu wengi watanzania wakipata shahada ya kwanza wanaona wamemaliza, atafute kazi ili iweze kumwezesha kusoma hiyo ya pili
 
kichoi naomba unisaidie ushaur ivi master maana yake nin na je nitawezaje kusoma master wakat cna ata experience je nitasema ninaenda kumaster kitu gan
 
kichoi naomba unisaidie ushaur ivi master maana yake nin na je nitawezaje kusoma master wakat cna ata experience je nitasema ninaenda kumaster kitu gan

Kazi ya Mwalimu ni kuelimisha. Master/s ni mtu aliye na ujuzi katika jambo fulani kwa level inayo tambulika kimataifa. Au ni mtu aliye na degree ya pili ya ujuzi (skilled) ktk jambo fulani/ holder of second degree after bachelor.
Kusoma digrii ya pili c lazima uwe umeajiriwa. Kumbuka kwamba wakati unasoma uliattend mafunzo kwa vitendo katka jambo fulani na ukaandika report. Field report ndiyo itakayo kusaidia kusoma masters. Ni sawa na kuomba kazi na kuajiriwa, kwani ujuzi umeupata wapi wakati wew ndio kwanza ni graduate? Haya mambo ni mepesi sana usiyafanye kuwa magumu kivile.
- Kadiri unavyo panda daraja la elimu ndivyo ambavyo mnakuwa wachache na nirahisi sana kupata kazi. Kwa sababu level ya elimu ndiyo itakayo kufanya uwe tofauti na wengine.
- Na kwa level ya Degree ya kwanza, kama c mtu wa kuchagua kazi, kazi zipo zipo. Una bachelor yako fanya kazi kwa level ya chini, then perfomance yako itaonekana soon utapandishwa kwa level yako.
 
Peleka maombi ya kazi FORWARD AIR wanaitaji mtu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Elimu yako bado ndogo, huwezi pata kazi. Ushauri, rudi darasani.
Hivi unaanzaje kuropoka kwa mwenzio kiasi hicho. wacha ujinga wewe. unataka JF ionekane haina maana yeyote? Ama kweli ukitaka kujua mtu ni mjinga kiasi gani chunguza mambo anayoyafanya akiwa peke yake.
 
Hivi unaanzaje kuropoka kwa mwenzio kiasi hicho. wacha ujinga wewe. unataka JF ionekane haina maana yeyote? Ama kweli ukitaka kujua mtu ni mjinga kiasi gani chunguza mambo anayoyafanya akiwa peke yake.

Sina shaka nawe upo ktk kundi hilo. Kwa Tanzania ya leo lazima uwe na rungu kubwa. Nilicho kuwa nimeshsuri ni kwamba aliongeza shule atakuwa ktk nafasi nzuri ya kupata kazi kwa maanya "added advantage" akiwa kazini atapanda na atafanya kazi ktk level yake. Kuwa mwepesi kuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom