Recent content by gbrill

  1. gbrill

    Ajira

    Mwenye kujua au anaefanya udereva wa magari kwenda nchi jirani/mpakani mfan;Tunduma maarufu kama (IT) msaada namna ya kujiunga na kazi. Mimi ni dereva ninataka kufanya kazi hiyo. Kwa sasa ni mwanfunzi chuo
  2. gbrill

    Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi

    Kubadikishana nafasi gani
  3. gbrill

    Kada ya Afya: Wenye uhitaji wa Kubadilishana Vituo vya Kazi

    Me nipo halmashauri ya wilaya masasi ni lab asstance natafuta mtu wa kubadilishana nae kati ya dar,pwan(bagamoyo),morogoro,tanga or kilimanjaro 0719512358 gbrillmsangi@gmail.com
  4. gbrill

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Ni kweli jamani me nawafahamu
  5. gbrill

    Wizara ya Afya, majina ya walioajiriwa mwaka huu

    nilituma kila kitu isipokuwa cheti cha wizara tu lkn niliowaacha chuo hawakuomba na wote wameepangiwa
  6. gbrill

    Wizara ya Afya, majina ya walioajiriwa mwaka huu

    naomba msaada hivi ukiomba ajira wizarani kwa kutumiia leseni bila cheti hauati kazi au maana me nimetuma muda ila hadi sasa naona wamepanngwa niliowaacha chuoni
  7. gbrill

    Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

    msuvaaaaaaaaaaaa 2
  8. gbrill

    Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

    msuva 1
  9. gbrill

    Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

    Times fm watulie wasije uza ng'ombe kwa kesi ya kuku
  10. gbrill

    Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

    Nadhani clouds wanauelewa na barua waliyopata coz barua ilimzuia dvdoo kufanya shoo tarehe 18 na sisi tunavyojua tarehe hubadilika pindi itakapofika saa sita6 usiku na davido alipanda mida kama ya saa nane so Times fm kisheria wamepigwa chini bora watulie coz dvdooo alifanya shoo trh 19
Back
Top Bottom