Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dk 85 linarudi hilo!!
Harudishi mtu, siye Simba ati! Simu yangu haina moto Wakuu ndiyo maana sionekani.
Dk 85 linarudi hilo!!
Mwenyewe wanazijua tim zao!!Tumeshawanyamazisha kimyaaaaaaa.
Yanga Oyeeeeeeeee
Chelsea Oyeeeeeeeee
leo jukwaa limepoa sana, CHELSEA 2 VS LIVERPOOL 1 F.T
pole, basi tufanye si golikwa timu pungufu hakuna maajabu.
leo jukwaa limepoa sana, CHELSEA 2 VS LIVERPOOL 1 F.T
dada yangu bantu lady na wewe umo dah nafurahi sana kukuona kwenye michezo forum
Nakutafuta sana ujue..........:loco:
pole, basi tufanye si goli
Haya fanya chap chap sanaaaaa!!!!!Hahahahahaaa babuuu unajua kwa kunipata eeeh.
Wamepigwa Bantu lady point 3 hizooooYanga piga hao Mgambo 1-0.
Wamepigwa Bantu lady point 3 hizoooo