Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

Mkuu hii timu ya Mgambo Sugar inapatikana wapi? Au kwa sababu siku hizi Ndala wanaogopa neno sugar kwa hiyo ili kuwafunga ni kuongezea Sugar? siku wakikutana na Ndanda tunabadili jina inakuwa Ndanda Sugar, Mbeya City Sugar, Simba Sugar, Polisi Morogoro Sugar. Wakishituka na wenyewe watajiita Yanga Sugar.

ana aleji na jina Sukari, kila wakibinuka wanakalishwa...
 
Timu yetu Mgambo Sugar naitakia kila la heri, natumai itafanya kama ilivyofanya mwaka jana pale Mkwakwani. Makoye Matale karibu sana boi!

Mbona hapo yeboyebo lazima akimbie na chupi mkononi!!
 
Last edited by a moderator:
leo jukwaa limepoa sana, CHELSEA 2 VS LIVERPOOL 1 F.T
 
Yanga 1-0 Mgambo, Simon Msuva. Dak 29 kipindi cha pili.
 
leo jukwaa limepoa sana, CHELSEA 2 VS LIVERPOOL 1 F.T

Yule mwenye surambaya alipo tia goli la pili tu nikajua jogoo kesha pakuliwa huyo. Lakini wana zali, mbili tu?
 
Tumeshawanyamazisha kimyaaaaaaa.
Yanga Oyeeeeeeeee

Chelsea Oyeeeeeeeee
 
dada yangu bantu lady na wewe umo dah nafurahi sana kukuona kwenye michezo forum
 
Mulioko tanga over, over, Azam kashaua ngapi mpaka sasa? Over, over.
 
Back
Top Bottom