Recent content by gauchothelegendary

  1. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana, kuna mtu ameomba kazi ya trainee akiwa na miaka 35

    Asante sana boss japo Leo nimekuja kwa kuchelewa sana.
  2. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Graduate Trainee at KCB Bank

    Kwanini mapoyoyo mkuu wanapunguza mzigo wa applicants 500+
  3. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Mkuu vipi hope umesoma NIT pale.
  4. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Alistair Group

    Ahhaa Sijafuta hata namba yao, huwa natamani kuwatumia nyimbo ya Madee- Haya yote ni maisha
  5. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Alistair Group

    Ilikuwa Sept 2021
  6. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Alistair Group

    Niliishia kutuma video, nmekula blue tick mpaka leo naendelea kujifukiza tu na kuvaa barakoa
  7. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weka Stake Ya Maana
  8. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂😂😂 Admin Dikteta huyo hafai kushika tena usukani auwawe
  9. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    New castle ni moja ya timu zenye mashabiki wengi nchini uingereza na ndiyo maana muarabu kaiona itamfaa, labda tu watachelewa kusumbua kutokana na FFP japo within 2 seasons tutaanza kuona moto
  10. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Tanzania 2 Benin 1 🇹🇿
  11. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ahahahha unamatatizo, bolingoli anaHold pale mbele na chances creation za kutosha.
  12. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Kuna anaewaelewa hawa Alistair group?

    Nshapitia sehemu mbalimbali naona wanapata malalamiko mengi sana, sijajua kama kweli wanakuwa na nia ya kuajiri au ndiyo kujitangaza tu.
  13. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ku-reseat form four, naomba ushauri

    Ndiyo nlichokuwa nafikili
  14. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ku-reseat form four, naomba ushauri

    Natumai muwazima. Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nimekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa form 4 Je ni maamuzi yangu yanaweza kuwa na tija ukizingatia ni takribani miezi nane niko shule
  15. gauchothelegendary

    JamiiForums Tanzania Grading system ya mwaka huu sio haki

    Uskonde
Back
Top Bottom