Msaada: Nataka ku-reseat form four, naomba ushauri

Jun 16, 2016
27
30
Natumai muwazima.
Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nimekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa form 4

Je ni maamuzi yangu yanaweza kuwa na tija ukizingatia ni takribani miezi nane niko shule
 
Hali ilivyo ikoje? Unataka msaada gani? Uko form five unataka kurudia mtihani wa form four kwa nini? Toa maelezo ya kutosha
 
Achana na kusoma bora jiekeze katika kilimo kusoma sio issue sa iv utajikuta wenzio wanakupita kimaendeleo ww umeshikilia kusoma tu. Nashaur..
 
Achana na kusoma bora jiekeze katika kilimo kusoma sio issue sa iv utajikuta wenzio wanakupita kimaendeleo ww umeshikilia kusoma tu. Nashaur..
kweli kabisa mkuu,but unawey ukatuambia ni kwa namna gani atumie kilimo kiweze kumsaidia kimaendleo? au kama nawe umefanikiwa kwa njia h ilikuaje?
 
kweli kabisa mkuu,but unawey ukatuambia ni kwa namna gani atumie kilimo kiweze kumsaidia kimaendleo? au kama nawe umefanikiwa kwa njia h ilikuaje?
Kilimo kinasaidia sana km huna mtaji unaweza kurud kijijini ukaanza ukulima wa mpunga, mahindi,matikiti, matango na mboga mboga, ila km una mtaji wa kutosha unaweza kuanza kwa kukod trekta na kulimia watu inalipa sana. Mm sijishughulish na kilimo kwa sasa ila ndugu zangu wengi wapo katika hii sekta na inawalipa zaid ya sana.
 
Natumahi muwazima. Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nmekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa form 4 je ni maamuzi yangu yanaweza kuwa na tija ukizingatia ni takribani miezi nane niko shule
natumahi
natumai

Eleza vizuri tatizo ni nini tukusaidie dogo
 
Natumahi muwazima. Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nmekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa form 4 je ni maamuzi yangu yanaweza kuwa na tija ukizingatia ni takribani miezi nane niko shule

Dogo tulia wakati wa kuandika na ueleze tatizo lako kwa ufasaha.
Unamaana kwa sasa uko Form Five unasoma,lakini baada ya kuona HGL kama haitakufaa unataka urudie mtihani kwa masomo/ tahasusi nyingine ya sayansi?
Tuweke wazi tukueleze njia ya kupita
 
Achana na kitu kama hicho,malizia kidato cha sita kwa tahasusi hiyo hiyo,chamsingi jitahidi ufaulu vizuri katika daraja la kwanza na la pili, ila wakati wa kuchagua kozi za kujiunga Chuo Kikuu usiwe na papala omba ushauri kama ulivyofanya hapa kisha utaelekezwa kozi za kusoma utafanikiwa vizuri,pili kumbuka taratibu zinabadirika mara kwa mara,kwahiyo usiogope
 
Kilimo kinasaidia sana km huna mtaji unaweza kurud kijijini ukaanza ukulima wa mpunga, mahindi,matikiti, matango na mboga mboga, ila km una mtaji wa kutosha unaweza kuanza kwa kukod trekta na kulimia watu inalipa sana. Mm sijishughulish na kilimo kwa sasa ila ndugu zangu wengi wapo katika hii sekta na inawalipa zaid ya sana.

hao ndugu zako wamefanikiwa kwa kiwango gani na tangu waingie kwenye shughuli za kilimo imewachukua miaka mingapi kufikia hayo mafanikio .
 
Back
Top Bottom