Recent content by gatesylv

  1. gatesylv

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

    Jesus is the only Way to GOD
  2. gatesylv

    JamiiForums Tanzania Biashara ya makopo ya plastiki

    Nadhani ina laana maana ishu ya kuokota makopo mpk yafike tani kadhaa si mchezo
  3. gatesylv

    JamiiForums Tanzania Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

    Hata mtoto hukaa tumboni mwa mama yake kwa wiki 40
  4. gatesylv

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Haya maandamano wala si ya chadema.
  5. gatesylv

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kwenda scoan au kwa TB Joshua hii ni halali au nimetapeliwa

    Angalia Emmanuel Tv uone mambo makubwa ambayo mtumishi wa Mungu anayafanya. Amefanya mambo makubwa kwa wahanga wa majanga mbalimbali pia ni mtoaji kwa wahitaji(masikini) anasomesha watu wengi, amejenga shule nyingi. Kiujumla sadaka inatumika ipasavyo
  6. gatesylv

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kwenda scoan au kwa TB Joshua hii ni halali au nimetapeliwa

    Tatizo una uelewa mdogo sana. Hapo hakuna sehemu ambapo Tb Joshua anahusishwa moja kwa moja, hajasema kama hizo gharama ni za kanisa bali ni process za kufika kanisani huko nigeria. Mbona mnasema vibaya watumishi wa Mungu aliye hai?
Back
Top Bottom