Taifa teule ni ahadi ya Mungu kwa wayahudi na ahadi ya Mungu haibadiliki. Kuhusu kwa nn sio wakristo jibu ni kwamba ukristo umekuja baada ya kuja Yesu ambapo kwa maandiko yanatuambia wayahudi hawakumtambua kama ndiye ni masiha wao aliyetumwa kuja kuwakomboa, kwa hiyo wayahudi walimkataa Yesu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.