mats_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 398
- 296
Katika kusherekea siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa babu yake mapanki, korea imeonesha umahiri wake wa jeshi kwa parade kakamavu , pia kwa mara nyingine ndugu mapanki ameonesha submarine ambayo imetengenezewa uwezo wa kubeba silaha nzito za nyuklia na kumtahadharisha mmarekani juu ya hatua anazotaka kuzichukua dhidi yake kwa kumwambia kua yupo tayar kuingia vitani na kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo bwana trump ataishambulia
Pia mzee wa panki kashakagua vikosi vyake kuhakikisha mambo yanaenda sawasawa na kutangaza kua yuko tayari kwa vita
Sasa hii tahadhari alotoa bwna mapanki itaweza kumfanya trump afikilie mara mbili mbili juu ya hatua anazotaka kuzichukua au ndo itamnyamazisha mmarekani na ubabe wake wote?