CCM yaitaka Polisi imhoji Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa CHADEMA walioshiriki maandamano yasiyo halali

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
a00cc07fdbfd78922a506673ddf915aa.jpg

a0b51fdd6239ada9c4ae937da9f7831a.jpg

0dfa538ab9db3048d8fb4c7a90ddd308.jpg
 
Matatizo ya kudumaa akili ni Marathi mabaya sana. Ukipatwa ugonjwa ni wa kupuuzwa tuu
 
Humphrey Polepole naona Kinana amekasusia chama basi kanajiona kajanjaaa.. Itafika saa katajuta kuingia kwenye siasa hizi za kijinga kama akili yake ilivyo fupi na dumavu kama sura yake. Kajamaa kaacheni tu kanaangaliwa na siasa zake za kuiga ngoma!
 
Binti alipigwa risasi katika mazingira gani?
Je alikuwa mmoja kati ya waandamanaji?
 
Duuu kweli naomba Mungu anipe maisha marefu nione burudani hapa duniani. Hapa walichofanya ccm ni kama mtoto wa mama anapotoa malalamiko kwa mama yake dhidi ya nduguye ambaye ni mtoto wa kambo. Misuli nashuru kwamba uko hapa jukwaani. Yale yale niliyokuambia ni ngumu sana mwanamke mzee (ccm) kukubali hata akijipaka wanja na kuvaa sketi fupi. Ile propaganda mliyokuwa mnajilisha wanaccm kwamba mnakubalika na rais wengu nadhani matokeo mmeyaona. Huu ukatili unaotumika na kukiuka sheria toka kwenye vyombo vya mamlaka ili ccm ishinde uko wazi kabisa. Kibaya zaidi mnapa shida toka kwenye chama kisicho hata na ofisi ya kueleweka, huku ccm ikiwa na maofisi nchi nzima, inajinasibu na miradi kibao ya maendeleo, lakini inabidi kufanya hila za wazi ili iweze kushinda. Kama wewe ni mwanaccm inabidi usome upepo na kujua kwamba kwa sasa ccm iko kwenye siku zake za mwisho kabisa na cdm ndio itakayopelekea kifo chake.
 
Back
Top Bottom