Recent content by GASPER ZUBEIR

  1. GASPER ZUBEIR

    Changamoto/kero za barabarani katika Mikoa tofauti Tanzania

    Ndugu mi sina gari ila pole sana kwa yanayo kukuta haswa kwa hilo lori lililo kukosa kosa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. GASPER ZUBEIR

    Hivi Faini za barabarani zinalipwa Cash?

    duuh Sent using Jamii Forums mobile app
  3. GASPER ZUBEIR

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    BAWASIRI NI UGONJWA WA KUVIMBA SEHEMU ZA HAJA KUBWA NA NYAMA NYAMA KATIKA SEHEMU YA HAJA KUBWA. TATIZO LA BAWASILI HUSABABISHA KUZIBA KWA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA KUTOKWA NA DAMU NYINGI WAKATI WA KUJISAIDIA. USABABISHA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI (ANEMIA) STRANGULATED HERMORRHODS. KUPUNGUZA...
  4. GASPER ZUBEIR

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Daaah umekufa mkuu hapo hakuna tiba ni sawa na nyongo ya mamba uwezi kupona utawasalimia marehemu huko uendapo ndo njia yetu wote
  5. GASPER ZUBEIR

    Msaada wakuu

    Mmh ngoja wajeda waje watakuambia
  6. GASPER ZUBEIR

    Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!

    Naitaji Wa kunizalia mapacha na mm ntoe no zako tuyajenga pls
  7. GASPER ZUBEIR

    BAJETI KUU 2017/2018,,,

    Kweli hii bajet itakuwa na faida gani kwa wananchi wote Wa Tz au imelenga wafanya biashara tu mana mzunguko Wa hela umekuwa Mdogo mno
  8. GASPER ZUBEIR

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Fejao ni wali kwa kireno kwa kiduch ni ïêû
  9. GASPER ZUBEIR

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Huku kwetu ni aroz ko fejao
  10. GASPER ZUBEIR

    Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!

    Bado wapo na mi ni mmoja wapo kwani unataka nini sasa unafikiri kutongoza ni kusonga ugali kusema nakupenda sio mchezo kuna demu ukimuona tu unaganda kama umepigwa shoti we acha tu kuna wanaume wengine wakikataliwa wanajiona wanamikosii
  11. GASPER ZUBEIR

    HABARI WANA JAMII NIJUZENI DAWA YA NDEVU ZISIOTE HARAKA

    Naitaji kwa anae jua dawa ya ndevu siziote kwa haraka aweze kunijuza ili nipate msaada mana mm ndevu zangu zinawai kuota mno
  12. GASPER ZUBEIR

    DAWA YA KUWA NA KIPARA NA KUFANYA NDEVU ZICHELEWE KUOTA

    Habari sana wana jamii : nilikuwa naitaji msaada Wa kujuzwa kama inawezeka ikawepo dawa ya KUWA na kipara moja moja bila kunyoa naitaji kuwa na kipara cha bila kunyoa yani kiwe forever Hiyo hiyo na ndevu zangu nikinyoa Leo kesho nakuta zimesha ota kibao alafu zinakuwa ndevu ngumu na kuwasha...
Back
Top Bottom