Recent content by Gasper mapile

  1. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mkuu mm ninashida na statement ya till yangu nimejaribu kutembelea voda shop wameniambia niwasiliane na wakala wangu mkuu ilhali simjui nimejaribu kutafuta mawasiliano naye aliye nitengenezea till amekuwa akinichenga sijui mnanisaidiaje kwa hilo
  2. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba ushauri kabla cjajilipua
  3. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera japo umechanika mkuu uko vzr
  4. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa mkuu nausubil
  5. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nashida na odds 10 nitafute kodi maana vyombo nishatolewa nje
  6. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Drafti kitaifa

    Hiki kipande anaanza kucheza mwenye kete zp mkuu?
  7. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba tushauliane juu ya huo mkeka
  8. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Code betway X32B7435A
  9. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole sana mzee mpunga mrefu sana huo
  10. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Mawakala wenzangu njoeni tuzungumze kuhusu haya makato mapya

    We jamaa km hujui nyamaza tu unaongea non sense.
  11. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

    Mkuu ww unafuga ?upo wap ?nahitaji mayai kwa bei ya jumla
  12. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Ofa, pata vitu vifuatavyo kwa bei nafuu sana

    Mkuu hujanijibu juu ya huo muzik Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nahtaji mzk mnene wa mtumba Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Gasper mapile

    JamiiForums Tanzania Ofa, pata vitu vifuatavyo kwa bei nafuu sana

    Huo mzk fanya mia 2 mzee nichukue mwez huu mwishon km bado utakuwepo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom