Ofa, pata vitu vifuatavyo kwa bei nafuu sana

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,837
2,000
Habari waku,
Bila kupoteza muda wala kupepesa macho, let's get down to business.

Radio ni Technics
Inataka 280,000 tu..kujitetea kidogo ruksa.

Laptop
Hp elitebook 8460p
HDD 500GB
RAM 4GB
Operating system Windows 8
Processor intel inside core i5 (2.60GHz)
Bluetooth built in
3hrs battery life
Power adapter
External mouse
Finger print authentication
Yenyewe inataka 300,000 tu.

Fridge (JOKOFU)
Milango miwili kama uonavyo..
Juu kugandisha
Chini kupoza
Lenyewe LINALILIA 250,000 tu..kujitetea muhimu.
Bidhaa zote zinapatikana ZANZIBAR.

ANGALIZO:
hivi vitu nimeweka bei ndogo makusudi
nikiamini Kuna wateja watataka kuvisafirisha toka ZANZIBAR kwenda mikoani, sasa nataka mwisho wa siku mtu akipata kitu jumlisha usafiri..bado awe ka-save kiasi fulani cha pesa.
Kumbuka vitu vyote ni vizima kwa 100%.
Mawasiliano
0716403314
0765982838
Karibuni.

20200504_163119.jpg 20200504_163111.jpg 20200504_163030.jpg 20200504_163052.jpg 20200423_101932.jpg 20200423_102005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,335
2,000
Huo mziki mbona una deki nyingi hivyo! Zote hizo zinafanya kazi gani hasa!!!
 
Top Bottom