Recent content by Garincha II

  1. G

    PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    Hakuna jeshi la hivyo duniani. Reasoning jeshini iko limited to technical issues only. Wakulaumu sio askari anaetumwa Bali anaetoa amri.
  2. G

    Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

    Hapa unatuonea tu makafiri. Hizi mada wamezianzisha ndugu zenu katika Imani tena huko Saudia.. Sisi ni mashabiki tu. Shida yenu mkikosolewa mnaona uislam unashambuliwa.
  3. G

    Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

    Sheikh Unajichanganya sana. Kwa hiyo tunakubaliana watu wana kosea kwenye ibada wapo au unapinga kabisa hawawezi kuwepo? Swali la pili, alichofanya Mwijaku kiko Sawa au sio Sawa? Na usije kuuliza Mwijaku ni nani kwenye uislam. Jibu ni muislam. Tunamtaja kwa sababu ni mfano Hai wa watu...
  4. G

    Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

    Nimeshangaa jamaa anajifanya hajui Kuna watu wa hovyo wengi tu kama Mwijaku wanakwenda huko. Tena mpaka video karekodi halafu huyu jamaa anajifanya hajawaona wahuni wakifanya uhuni huko. Mtoa mada Kuna tofauti kati ya IDEAL situation na REAL situation. Pili watu wakisema ubaya usikimbilie...
  5. G

    Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Ndo hapo Sasa. Nimeamini propaganda Ina nguvu sana. Mtu anaamini Kisha anakuja kuaminisha wengine vitu ambavyo hata havipo.
  6. G

    Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Huyo ni mhanga wa kumeza propaganda. Anataja vitu kama alivyovisikia mtandaoni. Anasema Elimu Rwanda Ana elimu gani? Mshindani wa Tanzania East Africa ni Kenya tu. Hao wengine mnalishana matango pori.
  7. G

    Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Michezo wame Michezo Rwanda katuzidi kipi? Maana simuoni anga za kimataifa sio football, sio riadha wala michezo mingineyo, au mnataja tu ili mradi. Tupe figure au walau mfano Hai basi. Mfano. Tz kacheza afcon mara mbili... Rwanda kacheza ngapi in the past five years or ten Tz Ina vilabu robo...
  8. G

    Kuwa makini sana na ndugu yako wa damu hasa yule ambaye mmeshibana

    Ni kweli siri ni mhimu, lakini kwenye hili wa kuwa makini ni nduguyo. Maana Una Imani za kishirikina. Mimi nimefanya matangazo online kuna siku Unapata traffic mpaka unafurahi. Kuna siku mpaka unarudi kuangalia kama umelipia au umesahau maana watu hawaji kabisa kuuliza hata bei tu.
  9. G

    Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Naona umeanza kuwa mpole... Statement yako tumeisoma kwamba Wapetupita kiuchumi. Wewe uchumi unaupima kwa macho ukifika Kigali basi.
  10. G

    Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Shangaa. Kuna praise and worship ya Rwanda humu wao kila kitu Rwanda iko juu.
  11. G

    Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Hatuna jeshi. Yaani njooni tu mchukue nchi au hamuitaki?
  12. G

    Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Unaenda mbali Sana. Weka akiba ya maneno.
  13. G

    Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Uko Sawa. Msalimie PK.
  14. G

    Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Mkuu Hongera sana kwa kujibu kwa ustahimilivu pamoja na kukutana na maswali mengine ya hovyo. Ni kawaida mpakani jamii kuchanganyikana. Sijui hofu hii ya kuwanyanyapaa wanyarwanda ikitoka wapi
Back
Top Bottom