Recent content by Gargamel

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Wakolon wameshatuathili sana,saizi tunabaguana weusi kwa weusi. Itikadi kuu za kukwamisha zoez ili zipo tatu. Kwanzaa' udini huyu kafir hafai,huyu gaidi hafai kuungananae,ikumbukwe b4 kuja mwarabu,na mzungu afrika hizo dini hazikuwepo. Pili ni watawala,viongoz weng Wa afrika wamekua vibaraka Wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume ana mwanamke ambaye anamuendesha kichwa, yaani huyo hata aseme nini au afanyaje unakuwa mpole tu!

    Mambo ya kifara mademu kwa kuekti,utarudi tu mm ndio mama naniiiiiii.... usipo rudi nyumbani cku moja tu,cm ofixin,cm kwa mama yang cm kwa marafk zang et mwenzenu katerekeza familia Wanaume eehe away dawa yao ndogo tu akizidisha jeuri tu na ww muonyeshee kiburi mpaka akome.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Siku zote mema hayaonekanagi ila mabaya ndio huonekanaga chap tena husambaa hataka mno.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwanaume aua familia yake kisa wivu wa mapenzi

    Nasikia Sikuizi no uhamisho ukishapangiwa mahali pa kazi
  5. G

    JamiiForums Tanzania JF: The only place you can meet real beautiful women

    Unareferance????
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

    Na kma aliyehitimu bado yupo kijijini anamsaidia baba yake kulima ataripa VP? Mtamkata % ya mazao aliyovuna? AJIRA hakuna,mshahara autoe WAP?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake weusi huwaga ni watamu sana, nini chanzo?

    Weusii mmmmwaaahhhah,japo nilikonako kapotabo 7bu wivu umekazidi,natafuta juu nyigu chini kontena tena piwa black, ukijichubua pita kule, km ypo umu come in time yeyote nafasi unayo.napenda weusi km mm binafsi.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    Waweke wazi fomu ya kufunga ndoa shilling?...kubatiza mtoto xhiling?.. komyunio shilling?...kipaimara shilling?...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Wadau hopefully mko poa Bila kuwachosha tuende na mada miezi ya hivi karibun Voda wamekua wakipigia promo huduma yao ya m pesa kwamba wametia grisi katika miamala take katikaalipo hususani ya benk.kwamba m pesa kulipia benk hakuna makato mbona sio kweli.tunafunga mwaka promo za uongo sio poa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

    Unazani mwanzon anakua hakupend au na we we humpend tatzo ukisha oa tu ndio mabadirko yanapojionyesha ambapo mwanzo havukuwepo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

    Up mzigo umekua saiaz Ila mwanzo alikua MTU na heshima sake tu,na kumtongoza nilisotea ez km 6 mpaka ughaili wik,hutum at a meseji lakini unaliamusha tena ukimwita anakuja kama chakula mtakula vizuli tatizo nilikua nikiomba mzigo hanipi,kwaiyo elewa sjaletewa km unavozani Bali niliyatafuta...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

    Anakufikisha mwisho Wa safari au anakusindikiza haufiki?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

    Yani ukisikia ninge huja likishatokea,kipind namuoa nilijua nimepata kwel,mpole,msikivu,mwelewa,ushung 24hrs after kuoa tu sio mapichapicha hayo gubu,wivu Wa kijinga usisalimiane na Jirani ohh demu wako haijarish at a awe bibi.kinacho nisikitisha ananyota ya kupotze mwanzo mwisho,Ila ndo ivo...
Back
Top Bottom